Marekani wana aina zaidi ya 800 ya makombora ya nyuklia na Noth Korea wana aina around 10 za hayo makombora. Ikiwa una akili timamu jiulize.. Marekani wanamuogopa nani mpaka wawe na silaha zote hizo na wengine wapo salama kiasi gani mpaka wasiruhusiwe kuwa na hizo silaha ikiwa wote tupo ktk...
Pia kwenye swala la kuwaunga mkono uliowataja nadhani ungesema tuunge mkono ukweli bila kujali rangi, kabila wala chochote kinachowatofautisha jamii moja na nyingine. Ukichunguza kwa makini utagundua kutotendewa haki kwa jamii fulani na jamii nyingine utakuta kunachangiwa pia hata na wahusika wa...
Mkuu kwenye evidence za rangu inaleta mantiki ila kuna mahali maezezo yako yanajikanganya.
1. Ktk maandiko kitabu cha kutoka kinasema wayahudi walishatolewa utumwani lakini maelezo yako yanaonesha bado wapo utumwani, tafadhali fafanua hilo.
2. Maandiko hayohayo yanaonesha ktk kutoka kuwa...
Usichukulie hilo jambo kama ni kuuubwa kama mtihani wa kupata passport ya mbinguni na usimchukulie huyo mwanamke kama ndio special sana kuliko wewe.
Jipe moyo utashinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile ni chujio la hewa si unajua hewa ya dunia imechafuka karne hizi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hiyo bible hamuielewi, ktk bible Jesus alikiri kwamba siku ya mwisho hata yeye haijui anajua Mungu tu sasa mnaleta story za kuhisi.. itakuwa hallucinations za bhangi hizo
Shetani alihusika vipi?
Unaonekana fikra unazotuletea ni kwamba hakuna ila kuna shetani. Bila shaka umetumwa na shetani aidha bila kujua au unajua ueneze hizo fikra. Hili halihitaji vipimo vya kisayansi kubaini. Logically iko wazi
Huwa mnaleta ubishi ubishi usio na ushahidi mnatumia hekima...
Gregory Mendel mwanzilishi wa sayansi ya vinasaba katika viumbe hai (genetics) alikuwa mtu mtu wa imani katika Mungu na kiongozi wa dini na alichangia kiasi kikubwa kuleta concept ya trait inheritance katika sayansi ya genetics... hivyo si kweli kuwa wanaoamini Mungu hawajihusishi na maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.