Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

Mababu na mababu wa huko vizazi vilivyopita waliishi hadi mapangoni mbona hatujasikia wamekutana na aliens au sijui vitoto vyake?

Ili hali mambo , mengine yote tumesimuliwa na kuyashuhudia hata wakati mwingine. Kwa nini hao aliens wao wasijitokeza hadi leo ni miaka maelfu elfu mbona asije afrika ndiyo kuna mapori , mistu, miamba mingi ila aliens wote wanaelekea USA na Europe!

Hapo pa kuonekana, Europe na USA ndipo uongo unapo anzia na kuonesha kuwa pana "a certian agenda behind this conspiracy game".

Kuwa pana, kitu kinaletwa au kutengenezwa kisha kiwe ni kwa ajili ya dunia nzima as a means to protect ourselves from unavailable creatures.
 
Kwa ninavyofahamu kuhusu aliens and UFO s kwa kweli sijaongeza chochote kipya. Uzi wa hovyo sana huu
 
Makanyaga,
Mkuu,
Mimi ninachojua ni kuwa wazungu koko wanataka kufanya jamii zingine zikae kwa uoga Fulani na kuwaabudu wao.

Kwa mfano, leo hii hizi movies za Vampires na Zombies zinatengenezwa kama movies ila kuna watu huku ao hao wazungu koko wanaanza kudai kuwa miaka siyo mingi sana ijayo ni kweli kuwa hao vampires na zombies watakuja na watakuwa wanaua watu. Ila sasa hivi wataalamu wao wa chemistry, physics na biology wanasoma miundo mbalimbali ya kitaaluma ili siku wakija basi Dawa/ Tiba iwepo ili atakaye ng'atwa au kugusana na hao viumbe asibadilike na kuwa zombie au vampire.

Kwa hiyo, hii ni biashara ya wazungu koko ila sasa wanatumia hadi mbinu chafu ili kuuza bidhaa zao.

Mfano, worldwide biashara ya silaha inaongoza kwa kuingizia mataifa makubwa kiteknolojia fedha. Ikifatiwa na vitu kama vifaa tiba na dawa, machine mbalimbali na n.k.n.k.
Ila angalia wanaofaidika ni ao hao wazungu koko.

Kwa hiyo, hata hii kuna issue inatengenezwa ya kuzuia hao viumbe wa kufikirika waitwao aliens ili dunia nzima/ nchi zote zinunue kwa kuwaaminisha watu kuwa bila hicho kitu/kifua basi hao Aliens wataingia kwenye hiyo nchi na kuleta madhara makubwa sana hadi hata vifo vya watu.

Any way, Africa, we are in a wrong side of the line.

Na ndiyo maana , hadi unasikia porojo zao ni kuwa hao viumbe wanaruka kutoka South kwenda North parts of the globe mean that, wanatoka Afrika, Latin American na kuekekea USA na Europe hadi Eastern Europe yaani Russia.

Ukiangalia huo uelekeo ni kule kule kwenye machines na technology kiasi kwamba wao watawadhibiti ila huku wanakotoka tutamalizwa. Hivyo, dawa ni kununua mitambo au vifaa vya kuwazuia hao aliens kwa hiyo ni mchezo wa karata Fulani tunaochezeshwa huku anayetakiwa kushinda aliisha andaliwa hata kabla ya kuanza game yenyewe.

Kwa hiyo, hakuna cha aliens wala zombie au vampires Bali ni story za kutungwa kwa madhumuni ya kibiashara au kuogopesha watu na kutafuta kuabudu wazungu koko.

Zaidi ya hapo, nitaamini siku wakimkamata alien na watoto wake watuwekee pale New York , Brussels au London ama hata hapo South Africa or hapa Wellington, New Zealand ili tukawashuhudie.

Ndiyo maoni ya Poise na msimamo wa Poise ndiyo huo na hautabadilika. Mipaka pale labda watakapo mleta alien mmoja live au hata na vitoto vyake ndipo nitakubali hizo habari.
Bila hivyo zinabakia kuwa ni story za Alinacha na zile story za Abunuwasi.

Samahnai naomba nirudie tena kukuuliza:

Kama umesilkiliza vizuri hizo clips tatu nilizo-upload hapo juu, kuhusiana na Pyramids, wewe kwa maoni yako, unadhani nani alitengeneza hizo pyramids?

Na kwa sababu mpaka muda huu hatuna teknoloji inayoweza kutengezeza structures za namna hiyo, unadhani waliokuwa wakiishi kipindi hicho wakati zinatengenezwa (Kama ni wamisri,) unadhani walikuwa nayo teknoloji hiyo?

Na kama walikuwa nayo, ni ya aina gani? Walitumia mawe na (sepeto chisel) au nini?

Je yaweza kuwa ni Mungu au ni kizazi kilchopotea kilichokuwa kimeendelea katika kiwango ambacho sisi hatujafikia?

Na kama sivyo, je yaweza kuwa ni aliens?

Tatizo wewe una-argue kwa prejudice za kuwachukia wazungu bila kuangalia hali halisi ya swala tunalojadili hapa. Mind you kumchukia sana mtu kiasi cha kuwa na prejudices juu yake is also a very good sign of inferiority complex, so you should also avoid that. Chuki ya namna hiyo huwa inatokana na kuwa unamkubali mtu rohoni lakini kwa nje unashindwa au hutaki kukubali kuwa unamkubali matokeo yake unaishia kumchukia.
 
I am not a defender of white pigs they call us baboons , chimpanzees and the like.

Up to this moment I am working with them and living together in one apartment and sharing ana office so, don't be emotional when it comes to that racisms and name callings its a common phenomenon whether you like it or not.

Kwa hiyo usinipangie kuhusu kuwaita wazungu kuwa ni wazungu koko au White pigs.

Back to the topic on board.

Pyramids ziko Egypt.

Ni kwa nini na wewe usijiulize kwamba, nini kilifanya zikajengwa Egypt na siyo USA, Europe , Asia au Australia ama huko South Africa?

Ni kwa sababu aliens walikuwa wanaogopa kuvuka na kwenda kujenga ulaya au USA!?

Any way, Egypt ni Taifa la tofauti sana katika bara la Afrika inapokuja kwenye issues za vumbuzi mbalimbali wa hapo kale mfano, hesabu, calendar , irrigation.
Au vyote hivyo ni aliens walivumbua hadi kesho Egypt wako vizuri mfano, kwenye irrigation schemes.

Mwisho, kumbuka kuwa hizo video zimetengenezwa na wazungu koko kwa hiyo hakuna jipya walichokifanya isipokuwa ni kujiandikia documentary tu kuhusu wanachotaka kuaminisha watu.

Kwa mfano, Afrika tulikuwa na zeze ila wazungu koko, waka copy na wakaenda wakatengeneza gitaa sasa kama zeze ingekuwa kwamba wazungu wangeshindwa ku- copy and paste lazima wangeanza kuambia na kuandika story kama hizo za kuwa huko Afrika kuna zeze imetegenezwa na aliens.

Mfano, gitaa la Mzungu ni la mwaka 1950 wakati sisi hapo kuanzia mwaka wa 1 tunapiga zeze huko Tanzania.
 
I am not a defender of white pigs they call us baboons , chimpanzees and the like.

Up to this moment I am working with them and living together in one apartment and sharing ana office so, don't be emotional when it comes to that racisms and name callings its a common phenomenon whether you like it or not.

Kwa hiyo usinipangie kuhusu kuwaita wazungu kuwa ni wazungu koko au White pigs.

Back to the topic on board.

Pyramids ziko Egypt.

Ni kwa nini na wewe usijiulize kwamba, nini kilifanya zikajengwa Egypt na siyo USA, Europe , Asia au Australia ama huko South Africa?

Ni kwa sababu aliens walikuwa wanaogopa kuvuka na kwenda kujenga ulaya au USA!?

Any way, Egypt ni Taifa la tofauti sana katika bara la Afrika inapokuja kwenye issues za vumbuzi mbalimbali wa hapo kale mfano, hesabu, calendar , irrigation.
Au vyote hivyo ni aliens walivumbua hadi kesho Egypt wako vizuri mfano, kwenye irrigation schemes.

Mwisho, kumbuka kuwa hizo video zimetengenezwa na wazungu koko kwa hiyo hakuna jipya walichokifanya isipokuwa ni kujiandikia documentary tu kuhusu wanachotaka kuaminisha watu.

Kwa mfano, Afrika tulikuwa na zeze wazungu wkaenda wakatengeneza hitas sasa kama zeze ingekuwa kwamba wazungu wangeshindwa copy and paste lakini wangeanza kuambia story kama hizo za kuwa zeze imetegenezwa na aliens.

Mfano, gitaa la Mzungu ni la mwaka 1950 wakati sisi hapo kuanzia mwaka wa 1 tunapiga zeze huko Tanzania.
Huu ukweli wanaoujua wachache mkuu ukiwemo ndani na ndo maana mm huwa mada kama hizi sitaki kuchangia kwa kuwa najua ideas zangu watu watanielewa vibaya nikija sema EGYPTY AND AFRICA IS THE CENTER OF CIVILLIZATION yatakuja mapovu hapo si ya nchi hii ILA BIG UP MKUU ENDELEA KUWAELEWESHA
 
aliens wapo....na njia za kuwasiliana nao kama telekinesis zipo....hawaongei kwa mdomo....ila inasemeka specie ya reptilians wamefanyiwa humanoid technology na kufanana na binadamu...so thet are among us...especially uko ulaya....UKO USA wanawatumia jamaa maana wanateknolojia y HALI YA JUU....
Hata picha hakuna na unaamini hizi theory za kijinga(upupu).
 
EGYPTY AND AFRICA IS THE CENTER OF CIVILLIZATION
Hili hakuna wa kulipinga kwasababu kuna ushahidi wa wazi, ila nini kilitokea Afrika ikawa kama hivi ilivyo leo?
 
nilisoma kitabu kimoja cha history kinaitwa modern world mwandishi anasema baada ya kupigwa mabomu ya nuclear katika miji ya heroshima na nagasaki kuna viumbe vya ajabu inasemekana walitoka anga za mbali ama sayari nyingine na kuja kushangaa kilichojiri anaefahamu ukweli katika ilo atujuze zaidi.
 
Mmmaaa!!! sasa na wewe unajitafutia matatizo au kifo tu haaa unataka kuwasiliana na hayo majitu daah una hatari sana, una bahati hajapiga chafya ungekua kiziwi milele
hayaonekani ni njia ya kutumia deep meditatation....afu ndo unaanza kufanya telepath communication
 
kwa ukaribu tulioufikia sauti niliweza kuzisikia lakini ilikua ni kama ya kumung'unya maneno sijui kama naeleweka yani kama unaongelea kwa ndani bila kuinua lips haikua rahisi kuelewa walichokua wakizungumza ata tulipowakaribia baada ya sisi kushtuka nao walionyesha mshtuko na sisi tulikimbia kurudi upande tuliokua tunatoka yani tuliwaachia mgongo lakini sidhani kama walikimbia sababu sisi ndio tulikua wakwanza kugeuka na kukimbia na sidhani kama nyuma walikua wakitukimbiza au la, lakini ninachokumbuka nyuma tuliacha kicheko lakini si cha sauti ya kawaida iliyozoeleka. alichoona na kusikia rafiki yangu kilikua kilekile.
wazee wa abduction hao...hawatoi sauti za kawaida...wanaweza kujibadili katka form mbalimbali
 
Huu ukweli wanaoujua wachache mkuu ukiwemo ndani na ndo maana mm huwa mada kama hizi sitaki kuchangia kwa kuwa najua ideas zangu watu watanielewa vibaya nikija sema EGYPTY AND AFRICA IS THE CENTER OF CIVILLIZATION yatakuja mapovu hapo si ya nchi hii ILA BIG UP MKUU ENDELEA KUWAELEWESHA

Mkuu hapo kwenye Center of Civilization uko sahihi kabisaa, wao ndio waliogundua kalenda, kilimo cha umwagiliaji na baadhi ya herufi hata jinsi ya kusalimiana, tumsifu Mungu kwa kuiweka Afrika mbele wacha watudharau tu
 
Hawa wazungu shida moja huwa wanataka kuonekana superior kwenye kila kila hadi wamefikia hatua ya kubadili historia nzima
 
Wazungu hata kudinya tumewashinda mbali sana sisi tunamwaga uno mbaya
 
Hivi huko Marekani ndio kupo karibu zaidi na anga za juu? Hao viumbe wanafika huko tu na sio sehemu nyingine za dunia?
Acheni kukadiria akili za watu.

Nasema 2 ,
Mkuu,
Ndiyo hilo nami nauliza.

Kuwa kama mtu mmoja kataja kuwa pana pyramids huko Egypt ila.leo aliens wako USA na Europe sasa inakuwaje wajenge Egypt ila wakimbilie USA na Europe.

Hizi chai za wazungu koko ambazo waafrika nao wanaanza kuzibeba kama zilivyo na kukimbizana nazo.

Any way, kwanza hii issue haina faida kwa Africa Bali ni project ya wazungu koko wenyewe.
 
Back
Top Bottom