Recent content by nasc92

  1. N

    JamiiForums Gharama za malipo kupitia simu zipo juu

    Habari, Leo hii nimeshindwa kuvumilia nikaona niandike humu kuhusu gharama kubwa ambazo serikali imeruhusu wananchi tuzilipe kama sehemu ya kukamilisha miamala mbali mbali ya kulipia huduma au bills mbali mbali kwa kupitia mitandao ya simu. Binafsi ninaamini kua, Kuwepo kwa teknolojia hii...
  2. N

    JamiiForums Natafuta scholarship

    Nimemaliza Ifm Barchelor ya banking and finance naningependa sana niendelee masomo yangu ya masters nchi za nje hasa masomo yanayohusu masoko (marketing) ila nahitaji sana scholaeship kwani sijiwez kifedha. naomba msaada wenu na ideas
  3. N

    JamiiForums Wana Nzega Mjini watawaliwa na hofu ya Rushwa ndani ya chama cha mapinduzi

    Baadhi ya wakazi wa Nzega mjini ambao pia ni wanachama wa chama cha mapinduzi, wamsikika wakilalamika juu ya hali inayondelea huko nzega hasa katika kipindi hiki cha kutafuta mgombea atakaeipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi katika ngazi ya ubunge mjini hapo. Malalamiko hayo yamegusa hasa...
  4. N

    JamiiForums Wafuasi wa EL kama kina BASHE wanaopigiwa kura za maoni agosti 1 hatima yao ni nini?

    Kutokana na kuwechelewa kwa muheshimiwa Mstaafu waziri mkuu EL kutangaza kuhamia ukawa. Baadhi ya wafuasi wake wamekua wakitapa tapa na kukosa cha kufanya kwa sababu ta mchakato unaoendelea wa kampeni za kujinadi katika kugombe nyazfa mbali mbali ndabi ya chama cha mapinduzi ikiwemo nafasi za...
  5. N

    JamiiForums The Growth of Online Businesses in the World Today

    The Internet is huge. Most people can agree on that at this point. But most people don't realize how big it is in relation to the global economy. it turns out, the Internet is a huge driver of economic growth. Internet as a sector is about 3% of GDP, or bigger than agriculture or energy, and...
Back
Top Bottom