Habari,
Leo hii nimeshindwa kuvumilia nikaona niandike humu kuhusu gharama kubwa ambazo serikali imeruhusu wananchi tuzilipe kama sehemu ya kukamilisha miamala mbali mbali ya kulipia huduma au bills mbali mbali kwa kupitia mitandao ya simu.
Binafsi ninaamini kua, Kuwepo kwa teknolojia hii imerahisisha sana kulipia vitu mbali mbali kwa uharaka na usalama. Lakini hizi gharama zinazoongezeka wakiita kwa jina la VAT au Ada ya malipo ndio inayofanya kua changamoto kubwa katika njia hii ya malipo.
Ingewezekana serikali ingeondoa na pia kabisa hizi gharama ingeleta maana kamili ya njia hii ya malipo kua rahisi zaidi na pia ingeinua uchumi sana. naamini kua Cashless society ni chachu kubwa ya maendeleo kwa kizingatia usalama na pia urahisi kutumia.
Ila inasikitisha sana hasa pale unapolipa bills za serikali mbali mbali lakini bado unaongezewa na VAT juu.
Mfano hapo nimelipa malipo ya serikali lakni ada ni Tsh 4000.
Naomba jamani serikali ilifanyie hili kazi. Asante.