Christopher George Latore Wallace (anajulikana kama Biggie Smalls, jina la jambazi la kwenye filamu ya mwaka wa 1975 ya Let's Do It Again, "The Black Frank White", jina la mwuza madawa ya kulevya katika filamu ya mwaka wa 1990 King of New York),[1] na hasa kwa jina la kisanii The Notorious...