Recent content by nappy boy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Wewe kibanga unapotosha watu. Unapoongelea swala linalohusu hela especially ushuru inabidi ukamilishe mahesabu. Mpe mtu gharama zote kama tansad itakavyotoka. What if huyo mtu aweka budget ya 3.4m halaf inakuja kuongezeka kwenye tansad?? Nakufundisha tena unapompa mtu estimation ya kodi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Abra One cif means Cost, Insrance na Freight. Kiswahili maana yake ni gharama ya mzigo, bima ya mzigo ukiwa melini au kwenye ndege au usafiri wowote utakao tumia na gharama ya usafirishaji (nauli)
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    RR agent wako alikulisha tango pori. Alitakiwa arekebishe invoice isome kama cif ya kwenye database inavyosema. Njoo kwa maprofessional kwenye industry hii tukufanyie kazi yako fair.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Kibanga hizo bei unazoweka hapo hazina registration na other charges. Utawalisha watu tango pori
  5. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    Poa poa NINAWEZA
  6. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    NINAWEZA BREAK DOWN HIYO.. D. O charges $85, ushuru 3,783,391.00, cif price kwenye database ya tra $2450, port charges 300,000.00, plate number 38,000.00 agency fee 250,000.00
  7. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za kutoa gari bandarini

    D. O charges (shipping line) ya xtrail haiwez kufika laki5 ni dola 87 tu. Ushuru ni 7.6m cif price kwenye database ya tra ni $5164.00 na port charges ni laki5. Plate number 38,000, agency fee 250,000.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Toyota rush

    320,000 chief
  9. N

    JamiiForums Tanzania Toyota rush

    Ushuru bila registration na other charges ni 7,073,970. 00 registration 320,000.00 other charges (CPF) 47,000. KWA MSAADA ZAIDI CHECK ME 0784 994 822
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu blood group O

    Kumbe basi nina bahati sana mimi ni blood group O- . Ila kamwe sipigi mzigo kavu kavu a.k.a mbichi traders.
  11. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    Kura yangu ya urais unaenda act this time. Hata sijiuliZ mara2
  12. N

    JamiiForums Tanzania Whatsapp calling activation

    It works. Perfect mleta thread.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jina langu kama mnavyoliona

    We ke au me?? Ili nijue nakukaribishaje
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

    Kumbe ndio mana uajiita dabo diff
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niusaidiaje mchepuko utulie na mkewe?

    Tukemee mapepoooo 🎶 G wara wara
Back
Top Bottom