Recent content by Napoleone z Conqueror

  1. N

    Usajili wa pikipiki

    Ulifanya mistake kutoka bila kukamilisha usajili kwa muuzaji. Mie nina uzoefu wa zaidi ya mara tano na kununua hizo pikipiki mpya za biashara. Ila mara zote pale pale nawapa TIN no. na namba yangu ya simu .......baada ya siku 3 nafuata plate namba ambayo ina usajili wangu kamili(kibao...
  2. N

    Wireless earphones zenye bass.

    Bajeti yake umeiona kabla ya kutoa ushauri? Au wataka anunue jina(copy) badala ya bidhaa original?
  3. N

    Je, unajua kama smart tv yako ina kamera ya siri?

    Wabongo wengi hutumia low budget Tvs, akina solarmax, alitop, haier etc. Brand hizi za kichina na Camera ni mbingu na Ardhi🤣🤣🤣🤣🤣. Hivyo ondoeni mashaka, watu wa Mungu🤣
  4. N

    Gadgets halisi(OG) zipo wapi?

    Kwa bongo ni changamoto ,maana mchina katawala soko letu saana. Na hii ni sababu wabongo tunapenda kitonga , hivyo wafanya biashara wanaleta mzigo utakaotoka kwa haraka. .........ila ngoja tusubiri wajuzi wa mambo ...though am talkin from experience coz kula yangu inategemea uzaji wa hizo vitu...
  5. N

    𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗶𝗺𝗲𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗿𝗲𝗸𝗲𝗯𝗶𝘀𝗵𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝘄𝗮 𝗯𝗲𝘁𝗿𝗶 𝗹𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗵𝗮𝗸𝗶𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 unasoma ✍

    Safi saana ,uzi mzuri. Watu wengi hawana knowledge kwa upande huu wa kutunza battery la simu. In short ni kwamba battery lina maisha yake ambayo upungua kadri unavyokua unachaji ( battery lina mizunguko lililopangiwa , ikiisha na maisha ya battery yanakua yameisha. Ndo maana kwa simu kama...
  6. N

    Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni tu. UDOM kwenye Issue ya ICT mpeni maua yake tu. Na proof katuonyesha tayari kwa kushinda mashindano mbalimbali. Wasomi uwa tunaongea kwa facts sio kushadadia mambo kwa kukariri. Sidhani kama kuna chuo chochote ambacho hakina vigezo ila kila chuo kimeamua...
  7. N

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT ilikua na soko miaka ya ile watu bado wageni wa teknolojia. Miaka ya 2000 kuja juu....mpaka 2015 ila baada ya hapo almost asilimia 30 ya watz wana knowledge ya IT wakati hawajasomea kitu hiyo(kujiongeza chuoni). Mtaani ndo usiseme, kuna wana wana knowledge ya IT tena wapo deep kuliko hata...
  8. N

    Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    UDOM kwenye issue ya ICT kwa ujumla wamejidhatiti kuanzia Vifaa(wana vifaa vya kisasa), Mazingira na kila kitu lakini pia wako kipractical zaidi. Katika tasnia hii vyuo vingine vijipange. Nahisi wameamua ku specialize katika tasnia hiyo.
  9. N

    Pata elfu kumi kila siku kwa kuuza social media followers

    Mjini ukiona walazimishwa kupewa fursa basi jua wewe ndo fursa yenyewe😀😀
  10. N

    Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

    Man goma linakataa ....ukishainstall hiyo unlocker
Back
Top Bottom