Recent content by NAPITA

  1. NAPITA

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Kesho au Ijumaa mtamuona wala msiwe na wasiwasi akielekea sehemu
  2. NAPITA

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Msemaji amemaliza kuzungumza akuulizwa hilo swali na waandishi wetu huko Dodoma?
  3. NAPITA

    Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Hivi waandishi walipata nafasi ya kumuuliza masawali?
  4. NAPITA

    Yaliyojiri Kesi ya Ubunge wa Lissu: Serikali yamwekea mapingamizi. Yasema baadhi ya maombi yake hayakidhi matakwa ya kisheria...

    Yani comment zote 57 nimesoma hakuna hata inayoelezea yanayoendelea mahakamani hata alieanzisha Post nae kimya kweli JF imebadilika sana sasa ile ya kwetu imepotea Nimerudi jamani mapumzikoni hahaha Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
  5. NAPITA

    Mkutano wa Kukusanya Maoni ya Muswada wa Vyama vya Siasa Ulioandaliwa na Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Mbona naambiwa hakuna watu kama ilivyotalajiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. NAPITA

    Natest Mitambo (Kitambo sana)

    Natest mitambo tu huyo pia ni mmoja wa mashabiki nikianza kazi utaelewa au unaweza kupitia uzi wangu wa kombe la Dunia lililopita utaelewa nini namaanisha.
  7. NAPITA

    Natest Mitambo (Kitambo sana)

    Kama kawaida kwenye Kombe la Dunia huwa nawaletea picha na matukio yanayoendelea ndani ya uwanja na nje ya uwanja bila kusahau mitaani wakati wa Kombe la Dunia kwa wale wahenga wa Jamii F wa jukwaa la Picha wanajua sasa tutaanza kuwa pamoja kama kawa.
  8. NAPITA

    Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?

    Ulevi wangu ni Twitter hapo lazima nishike simu au laptop.
  9. NAPITA

    Rais Magufuli apiga simu zaidi ya mara mbili katikati mwa Fiesta DSM

    Kwani nae alitoka kwenye harusi saa ngapi?
  10. NAPITA

    Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

    Ngoja nitunze hii picha kama kumbukumbu nimeipenda.
  11. NAPITA

    Account ya Millard Ayo Twitter yafutwa

    Ngoja nisubiri Sent using Jamii Forums mobile app
  12. NAPITA

    Lowassa atakiwa kurudi kwa DCI Alhamisi Julai 20

    Yangu macho na masikio... Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
  13. NAPITA

    Exclusive: Ma RDj's wa Efm walalamika kubaguliwa na kutolipwa mishahara yao kwa wakati

    Mtoa Mada usikose kusikiliza Vitasa Mwanzo Mwisho
Back
Top Bottom