Recent content by Nanoli

  1. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Trump agoma kuongea na Iran, asema walichelewa, hapa ni kipigo tu

    Muda mchache sana, ashushe vitu tumalizane
  2. Nanoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

    Kamba
  3. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha na kuapa kutorudia tena makosa yake ili afunguliwe Kanisa lake

    Post ndeeefu lkn ni makorokocho tu.. Kosa la Gwajima ni lipi
  4. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Kinondoni yuko sawa kichwani kweli? Mtoto wa Rais ndiyo nani kwenye nchi? Wazazi wa watoto wengine wao hawana uchungu?

    Huu ni uchawa, sio hoja za kibunge. Na ndio maisha ya siasa nchi I kwetu
  5. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanunuzi juu ya kisa cha tajiri na yesu(luka 18:18-27)

    Kumbuka hata Abraham alipimwa Imani yake kwa kumtoa mtoto wa pekee, lkn alipoishinda Imani yake aliongezewa uzao pia,... Yesu anatufundisha siri ya mafanikio,. Si kwamba angeuza mali akaigawa angekuwa maskini, hapana, angeongezewa zaidi ya kile alichokiuza.. Sasa utaona alionyesha Imani yake...
  6. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia nyumba za wakazi Kibaha, wapora na kujeruhi wananchi kadhaa

    Kama huna akili si lazima uchangie,.. Soma comments tu utajifunza kitu
  7. Nanoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona kila kitu haraka, kuna nini Simba?

    NGADA FC
  8. Nanoli

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kama una mtoto pitia hapa

    150k mihela yote hiyo aisee!
  9. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Hivi Ajira ya Zimamoto itamlipa Majaliwa kuliko Uvuvi wake?

    Jana kapewa mil 1 na Mkuu wa Mkoa, leo kapewa mil 5 na YANGA,.. bado wahanga wachangie ili wazo hilo la boat litimie,.. Bado hajachelewa
  10. Nanoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu

    Una umri gani mkuu? Tuanze na hilo then naweza kukushauri
  11. Nanoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini yalikuwa makosa katika Mechi ya Leo kwa Yanga dhidi ya Club Africaine?

    Kocha hana mbinu mpya.. Ni rahisi mpinzani kumsoma na kumdhibiti kwakua habadiliki,..
  12. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

    Ni jambo jema.. Ila sio tiba. Mitaala pia ibadilishwe,.. Kuanzia elimu ya sekondari wangeiunganisha na vyuo vya VETA na Kilimo&ufugaji,.. Pia yafundishwe masomo ya entrepreneurship,.. Tutaweza kupunguza fikra tegemezi ya ajira kwa serikali...
  13. Nanoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Daah! Nimeandika nikafuta kama mara 4 hivi,... Yaani we jamaa una wakati mgumu sana,.. Na ukichukulia powa, kifo kiko mlangoni pako!
  14. Nanoli

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Lugha ya TGS D wachache wa serikalini wenzio ndo watakuelewa
Back
Top Bottom