Recent content by nanjinji

  1. N

    TCL Smart TV inahitajika haraka.

    Habarini wakuu..! kama kwenye kichwa cha habari hapo juu kinavyosema, nahitaji screen aina ya TCL LED Smart Flat screen ya nch 32 kwa haraka sana yaani ikiwezekana mpaka kufikia kesho saa 3 asubuhi iwe imepatikana. Napatikana DAR na bajeti yangu ni kati ya 480k mpaka 500k. Tuwasiliane kwa...
  2. N

    Uongozi wa Mabasi ya TASHRIFF tafadhalini rekebisheni kasoro hizi.

    Wasallam wakuu..! Kwenu uongozi wa mabasi ya TASHRIFF hasa yanayofanya safari zake kutoka Dar kwenda Mtwara na Masasi, naomba sana mlizingatie hili tafadhali mimi kama mteja wenu nimeliona na inawezekana wengine wameliona pia lakini wamelikalia kimya. Kuna mambo matatu naomba sana myafanyie...
  3. N

    Naweka bondi sim

    Vipi bado ipo hii simu..? Doris Gabriel
  4. N

    Mchezo wa Biko

    mkuu usipate shida sana, Watz tu-wavivu sana na tunapenda vitu "KITONGA" acha hao jamaa watupige mpaka akili itakapokuja kukaa sawa. kuthibitisha hilo watazame viongozi wetu kwanza wale wa SERIKALI NA wasio wa SERIKALI.
  5. N

    Diamond katangaza neema kwa wakulima wa karanga

    kwani yeye karanga ananunulia vijijini..?
  6. N

    Dj Sinyorita ni mrembo jaamani...

    Huyu demu wa kawaida SAAAAAAANA
  7. N

    Mikorosho ya kisasa

    inategemea Boss kwa sababu hata ya kisasa nayo hiyo inahitaji uangalizi na huwa inazaa kuanzia miaka 3
  8. N

    Mikorosho ya kisasa

    Sawa mkuu naomba Ijumaa nikumbushe kwa sababu huyu mtaalam sasa hiv anavuna mbaazi na si unajua huku kwetu waislam kwa hiyo Ijumaa atakuwa nyumbani hivyo itakuwa vizur kwa mawasiliano. naomba unikumbushe kama nitasahau ila nitakumbuka ili ujue gharama mapema na ikiwezeka kama uwezo utaruhusu...
  9. N

    Mikorosho ya kisasa

    Ni bora na nakumbuka mwaka jana walianza wilaya ya Ruangwa kwa kugawa miche bure, kuwa na amani tu mkuu, ila kinachofanyika Bodi ya korosho wanawatumia watu waliopewa mafunzo ili kutengeneza vitalu kwa ajili ya kuotesha miche ambayo baadae inaenda kwa wananchi bure lakin hawapati wote si unajua...
  10. N

    Mikorosho ya kisasa

    Hamna mkuu, shamba lako liko wilaya gani na lina ukubwa gani..? nakuuliza hivi kwa sababu za kitaalamu na jamaa anapokea order nyingi pia hivyo inakuwa rahisi kwake kupanga route za upande mmoja. Kesho BODI YA KOROSHO inapanga bei elekezi huko makao makuu ya Mtwara
  11. N

    Mikorosho ya kisasa

    sorry mkuu kumbe rajoh ndio alikuja PM
  12. N

    Mikorosho ya kisasa

    Nlikujibu mkuu na nimekuuliza maswali kadhaa lakini umeshindwa kujibu. Twende PM au jibu hapa suala shamba lako lilipo ili nimueleze jamaa kama anaweza kufika huko kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu pia.
  13. N

    Mikorosho ya kisasa

    mkuu kama bado hujafanikisha ni-PM nikuunganishe na jamaa mmoja hivi yupo NEWALA anatumiwa na watu BODI YA KOROSHO kuzalisha miche ya wakulima. kwa mwaka yeye tu anaweza kuzalisha zaidi ya miche laki 8.
  14. N

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mkuu Mazaya walikuhudumia hawa watu..? kama hawakuhudumia tujulishe tafadhali tupeane wayforward ikiwezekana tuwashtaki kwa EWURA na wakulipe fidia kwa kuchukua pesa yako na kutokukupatia huduma kwa wakati.
Back
Top Bottom