Mikorosho ya kisasa

Shamba langu lina heka 20 na lipo Rufiji -Bungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu naomba Ijumaa nikumbushe kwa sababu huyu mtaalam sasa hiv anavuna mbaazi na si unajua huku kwetu waislam kwa hiyo Ijumaa atakuwa nyumbani hivyo itakuwa vizur kwa mawasiliano.
naomba unikumbushe kama nitasahau ila nitakumbuka ili ujue gharama mapema na ikiwezeka kama uwezo utaruhusu upande mvua za kwanza mwaka huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom