Recent content by nanjehedi

  1. N

    Madini ya rubi

    Haya kaka nayo ni hayo ama,maana Kuna kifuko kiliokotwa yakakutwa haya na hatujui kama ni yenyewe ama vp
  2. N

    Gari Kutoka Ghana

    Hizo gari zinaitwa KANTAKA , na sio kwamba wanafanya assembly,ni wanaunda magari,na wiki mbili zilizopita kuna mtanzania kaita moja ya hizo gari,
  3. N

    Natafuta kiwanja cha kununua

    Mkuu hyo ni sawa na ngapi kwa ngapi
  4. N

    Natafuta kiwanja cha kununua

    Tabata relini karibu na St Mary's college na kina square m 1600 pia kina hati,kama una milioni 300 uje na mazungumzo yapo
  5. N

    Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Nenda Regency hpspital na omba appointment na daktari wa ngozi Prof Mgonda
  6. N

    Plot4Sale PLOT INAUZWA TABATA RELINI

    BEI: 300,000,000/- Maongezi yapo kwa mhitaji MAHALI:TABATA RELINI(karibu na st.Mary chuo cha ualimu) UKUBWA: SQUARE M 1600 UHALALI:KINA HATI AMBAYO INALIPIWA KILA MWAKA Mhitaji anaweza kuja PM hapo aje apaone na apalipie asante sana.
  7. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Hakijapimwa though kuna mpango wa kurasimisha makazi
  8. N

    Kiwanja kinauzwa kiko kunduchi

    Mkuu kama unaweza kuja Mbezi kwa Msumi kuna kiwanja hapa cha kiaina nacho chaanzia mil 5 tu za kitanzania,ni 20 kwa 20 mkuu,ukihitaji ni pm
  9. N

    Kiwanja kinauzwa Kunduchi

    Mkuu kama upo tayari kipo kimoja Mbezi kwa Msumi huku ni cha 20 kwa 20 nacho chaanzia mil 5 za Kitanzania na ni ruksa kuja kukiona na kujiridhisha kabla ya manunuzi kufanyika,toka mbezi mwisho ni dak kama 7 mpaka 10 hivi,na nauli ni 500 kwa Noah,karibu mkuu unaweza kuni Pm hapo
  10. N

    Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA MBEZI KWA MSUMI BEI RAHISI

    Wakuu kiwanja kinauzwa Mbezi kwa Msumi. Ukubwa ni 20 kwa 20. Bei, kinaanzia milioni 5 (kwa mnunuaji mazungumzo yatazingatiwa) Kiwanja kipo eneo tambarare na kipo jirani kabisa na barabara,pia kutoka Mbezi Mwisho ni safari ya daki 7 mpaka 10 kwa Noah ambapo nauli ni Tshs.500 tu.Njoo uchukue...
  11. N

    Kiwanja kinauzwa Mbezi Makabe

    Mkuu nina kiwanja hapo Mbezi kwa Msumi,sehemu ni Tambarare kabisa,ukubwa ni 20 kwa 20 na ninaanzia kama milioni 5 tu,na mazungumzo kidogo yanaweza zingatiwa,ukiwa tayari nicheki 0655 44 64 60
  12. N

    Furaha ya mtoto inapotea kwasababu ya "Mvuje"

    Kaka huyo kijana kakaa tumboni miezi tisa na katoka mzima na wa afya,hakuna cha kinga hapo bali ni imani potofu tu,nina wawili wote hawajafunga na wapo poa mpaka leo,kikubwa ni chanjo tu hapo,wapate chanjo zote na kwa wakati na siku 40 za mwanzo kabla mtoto hajapata chanjo,epuka kila mtu...
  13. N

    Jakaya Kikwete, umeshindwa kumzika Aboud Jumbe?

    Mkuu kama sijakosea jamaa yupo Zambia huko alikua mwangalizi wa ucgaguzi
  14. N

    Hii ndio hali halisi ya K'koo baada ya Rais kuwaruhusu Wamachinga

    ki ukweli sidhani kama ni sawa kuwarudisha tena hayo maeneo,Kkoo palikua patulivu na ilikua sehemu salama 85%, na hata ukiwa na usafiri ilikua ni rahisi kwenda hadi katikati ya soko kabisa maana msongamano haukuwepo, nadhan viongozi waliokaamua kuwaondoa walijaribu kuondoa tatizo sugu la...
  15. N

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    We jamaa unachekesha watu bhana,ndio mwili wake huo na wapo wembamba huku zaidi yake mkuu.
Back
Top Bottom