Kiwanja kinauzwa Kunduchi

Kiwanja kinauzwa Kunduchi

vp mkuu hatupati kiwanja chini hapo huko kuanzia 6ml..hali ngumu boss wangu pesa hapatikan
Mkuu kama upo tayari kipo kimoja Mbezi kwa Msumi huku ni cha 20 kwa 20 nacho chaanzia mil 5 za Kitanzania na ni ruksa kuja kukiona na kujiridhisha kabla ya manunuzi kufanyika,toka mbezi mwisho ni dak kama 7 mpaka 10 hivi,na nauli ni 500 kwa Noah,karibu mkuu unaweza kuni Pm hapo
 
Wakuu habari za majukumu ! kiwanja kinauzwa kipo eneo la meko kunduchi Dar es salaam ni kama mita 400 Kufika barabara kuu ya mwenge -bagamoyo ukubwa ni :- upana mita 20 urefu mita 36 bei ni mil 15 mawasiliano no 0765544791/0655544791 karibuni Ukiona sm haipatikani tafadhali tuma sms kwani simu inasumbua charge

Kunduchi ipi? Kimepimwa?
 
Mkuu kama upo tayari kipo kimoja Mbezi kwa Msumi huku ni cha 20 kwa 20 nacho chaanzia mil 5 za Kitanzania na ni ruksa kuja kukiona na kujiridhisha kabla ya manunuzi kufanyika,toka mbezi mwisho ni dak kama 7 mpaka 10 hivi,na nauli ni 500 kwa Noah,karibu mkuu unaweza kuni Pm hapo
kimepimwa
 
Hahahaha,aisee
Tena bora sim kuliko Sms kwa kula charge
Kote kaenda vizuri ila hapo tu ndio kaharibu
Mkuu SMS inaingia mud a wowote hata kama cm imezima hiv yo nikiwasha naikuta ndio ilikuwa maana yangu
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom