Recent content by naninibaraka

  1. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Mikakati yakumtoa Dr. Mashinji kwenye nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA yaiva

    Mwakibinga mchumia tumbo, mapato ya band yenu mafisiem hayatoshi?
  2. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    JPM hajui mchezo unaochezeka, he is too far to know,huwez kutengeneza maadui wengi kwa muda mfupi hivyo
  3. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola, Kituo kikuu cha Polisi Arusha kinanuka rushwa

    Mh Waziri ninajua wewe ni msimamizi na mtenda haki lakini utendaji wa jeshi la polisi hauridhishi , mfano central Arusha Police watu wanabambikiwa kesi. Nilibahatika kuchunguza jinsi watu wanavyopigwa mpaka miili yao kuoza na kutoa harufu na wengine kulazimishwa kujamiana kinyume na maumbile...
  4. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ashusha tuhuma nzito kwa RTO Arusha

    Siyo traffic tu, central police Arusha inanuka Rushwa
  5. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.

    Mkuu fanya investigations am sure ana mtu nnje based on my own experience
  6. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Ras Magufuli: BRELA imeshindikana, iweke chini yako

    I took 49 days kusajili kampuni, huu mfumo wa Brela wa hovyo kbs, tujifunze hapo kwa wenzetu kenya
  7. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Lugola awatangazia vita wanaomkejeli Rais Magufuli mitandaoni

    Rais wetu ni Mungu wa duniani, hapaswi kukosolewa
  8. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Kuweka watu ndani masaa 48, Mkuchika awataka wakuu wa Wilaya na Mikoa wasimharibie kazi

    Muda wa kuomba kura umefika
  9. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Arusha wakiongozwa na Wabunge wao waandamana kumpongeza Rais Magufuli

    Mipango ya uchaguzi
  10. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mishahara minono yaja kwa watumishi wa umma

    Uchaguz umekaribia
  11. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Kwanza nimpongeze Lissu kati ya watz wachache walio shiriki kwenye interview inayoangaliwa na watu zaidi ya 400m duniani kote,ameweza kuanika changamoto Tanzania inayopitia chini ya awamu hii ya tano, najua wasiolewa wanambeza lkn kwenye hili kwa lugha nyepesi Lissu is a hero!! Ninaamini JPM na...
  12. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Nyie Lumumba ebu mshaurin JPM aende kwenye mikutano ya kimataifa akutane na hayo maswali kama atachomoka
  13. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Tundu Lissu hajaacha kitu,kaelezea kwa ufasaha udhaifu wa jpm na serikali yke,, nawaza je ingekua ni JPm kaitwa kwenye hiyo interview ingekua aibu ya mwaka
  14. naninibaraka

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Huyu speaker kama ataendelea kufuata maelekezo ya jiwe bunge linapoteza imani kwa wananchi, huu mchezo wao hata mtoto mdogo anaulewa
Back
Top Bottom