Recent content by nangaramo

  1. N

    Natafuta Mwenyeji wa South Sudan au Raia wa pande hiyo

    Mbona hujaweka namba yako ya simu ? Mimi naishi Juba South Sudan kuanzia 2012, nipigie +211956435112
  2. N

    Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa

    Tulisema mkwala wakati wa uchaguzi wakati ndege zenyewe zimepitwa na wakati !!! Poleni ndugu zetu mliotelewa kafara, maya zaidi familia hazitasaidiwa na chochote na serikali yetu hii tukufu ya CCm !
  3. N

    NAPE kushtakiwa mahakamani kwa uchochezi na matusi.

    Nape ni mwanaharamu sio mtoto halali wa Mzee Mnauye, ndio maana amepinda, wamakonde wote tunajua
  4. N

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Si ndiyo alisema Lowasa afadhali ametoka akAfie chadema ? inshaalah Mungu hachezewi. Nyie milo n pumzi mjifunze
  5. N

    Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Ndugu zangu wa Mtama, hivi muulizeni Nape anaishi wapi ? Yaani anataka kuwafanya nyinyi ngazi ? Msikubali mpeni Kura Yule ambaye mko naye kwenye misiba, mikumi, makomanga na viangulo, muulizeni kwanza Nape Amealuka ? Aimbe kungwe moja tu. Aende Bukoba huko akagombee Kama hawakumtoa balu. Anataka...
  6. N

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    AMA kweli nimeamini sisi wapumbavu. Na malofa yaani tunamshabikia mgombea anapiga push ups !! Yaani wakati Tanzania inazidi kuporomoka ! USA wametunyima msaada wa GMG, kwa sababu ya huyo mnayemshabikia kupiga push-ups. Ameiba hela za barabara, hivi mnajua athari watu wetu watakayopata kwa KUKOSA...
  7. N

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Do not sit on your ass wondering, do something !!! tafuta na wewe utapata, sio kukaa kulalamika tu ! unafikiri kulalamika no kutakuletea chakula cha wanao mezani ?
  8. N

    Treni ya umeme ya Ethiopia, kuanza kujengwa Kenya na Tanzania ?

    Hata mkiijenga New York hapa Tanzania, mtaenda tu , acha wengine waje watujengee vingine, nyinyi hayo mliyofanya kwa miaka 54 yanatosha
  9. N

    Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

    Ataelewa tu
  10. N

    Tumsaidieni Dr. John Pombe Magufuli kwa hili

    Tulishasema MAGUFULI siyo presidential material . Mtaamini zaidi Kama akiweza kuiba Kura
  11. N

    Samia Suluhu Tutajenga Minara ya simu katika kila Kijiji hapa Lindi

    Ndio zao CCM ! Ahadi zao ni Kama MAZOBA hivi, si MAGUFULI kaahidi barabara Sita Sita kutoka Dar hadi Chalinze ! Wakati Dar Hainaut fly over hata moja ! Banjul , Gambia inayotegemea utalii na Karanga tu Ina flyovers 8 ! Hiyo ndio CCM ndani ya miaka 54. Mnatuboa sana sisi tunaotembea huku nje
  12. N

    Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

    Tumesema CCM wameharibu nchi ! Sasa wanatoa rushwa hadharani na hakuna wa kusema ! Hukumu yenu October 25
Back
Top Bottom