UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
John Pombe M

Huwa tukiwaambia kuwa ccm hamna akili kabisa mnakuwa wakali,wewe huna hata aibu unampigia kura magufuli mara 5 peke yako,na oct 25 utafanya hivyo? Rais wa 5 wa Tanzania ni Edward N.Lowassa.Msioamini subirini kujikojolea siku anatangazwa rasmi kuwa ndo mshindi,mimi nipo jikoni huo ndo ukweli sasa,nikisema mengi nitakula ban bure,mwenye akili kaelewa vizuri.
 
Mkuu hebu nipe hayo mengi PM ninenepe mie pls!!!
Achana nae huyo kaona ni yeye peke yake inabidi apige kura mara kibao.
Kama sio kuchanganyikiwa ni nini?Na bado.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom