Baba Wawili 2012
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 413
- 336
Sawa mkuu nakubaliana na wewe ila ujue hakuna mtu aliye zaliwana anajua kila kitu.sasa ndo imefikia point off no return.tufanyeje ili awe updated za hizi stuff za kimataifaa.
Easy....asikurupuke km hana fact au uhakika...so easy!! daima ukiwa ktk audience usiongee kitu akijakaa vizuri....la msing kwa sasa....wananchi wako na updates kibao za nje kulingana na mitandao kuliko viongozi wetu....!! so waachiwe wananchi mambo ya nje...kwa sasa waambie watafanyiwa nn na serikali ijayo...kivip....!! sio kutishana...watu wako Dynamic muda upo wajieleze vizuri...tutavukaje ndio msing sio kusema tutavuka....