Recent content by nangalebushesha

  1. nangalebushesha

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    ama kweli kwa Lissu kiboko nimeona huo UKUTA
  2. nangalebushesha

    Onyo kwa mawakili wote wanaopanga kuandamana kesho kwa ajili ya Lissu

    mtoa post fala sana ivi we ungekuwa south Africa Uhuru ungeupata kweli we mbuzi
  3. nangalebushesha

    Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

    mmmh only in Tanzania where most of people support with out critical thinking of course all about of lissu's press conference was true big up Lissu
  4. nangalebushesha

    Kwa kauli za Tundu Lissu ni wazi kwamba anakibomoa badala ya kukijenga CHADEMA

    lizaboni kama mtu hakujui anaweza dhani uko mirembe kwa sasa ila kwa mm ambae najua akili za ccm sinaga kuhangaika nayo mfano mdogo tu tuambie bajeti ya kiwanja ndege ilipitishwa wapi ili utambue kwamba hazikutoshi
  5. nangalebushesha

    Habari maelezo wajibu Propaganda na upotoshaji wa Tundu Lissu

    hiki ni kituko kama vituko vya ngereja kupeleka pesa Tra
  6. nangalebushesha

    Malisa Godlisten Joseph wa CHADEMA alishukuru Jeshi la Polisi kwa kumuokoa kutoka kwa wavamizi

    na hiyo gari nyeusi du lkn pia mleta maada ni mjinga peke yake anaweza kutoshukuru kwa mtu aliyetenda jema lkn ukifanya baya lzm ukosolewe
  7. nangalebushesha

    Kumbe Kikwete ndie aliehamrisha Pesa za ESCROW zitoke, tusipoteze muda, kuna giza hapa

    kwa nchi ilipo ccm haiwezi kusolve chochote hapa Tanzania kwani mwizi namba moja Wa rasilimali za nchi ni ccm. Ukirejea mambo kadhaa utagundua ni uigizaji tu tunafanyiwa watanzania mfano makinikia waliouza madini bongo ni ccm ,angalia pia suala la escrow hilohilo ambalo watu waliitwa tumbili...
  8. nangalebushesha

    Sensationalism kwenye Professional Presentations inakubalika? Ni swali tu...

    ndg mayala huna haja ya kushangaa kwani yanayotokea ni kawaida maana hata mteuaji Wa tume ni mmoja Wa wana ccm ambao wametufikisha hapa cha ajabu unaweza ukaja gundua ndio waliompinga mnyika kuleta mikataba bungeni pia jiulize wale wale waliosema hawarushi bunge live Leo wanahamasisha...
  9. nangalebushesha

    CCM na serikali yake wanapaswa kuwaomba radhi watanzania kwa kushiriki kuiba au kusaidia wezi

    haya yako Tanzania tu ambapo mmoja ya wale walioshiriki kusema ndio na kusema mikataba ni siri anatuambia tena tumeibiwa mno ni mambo ya ajabu sana kwa mambo haya bora umeishi Burundi mambo yakajulikana najiuliza ivi ile gesi mtwara kichapo nilikuwa cha nn kwa wazawa na ile mikataba...
  10. nangalebushesha

    Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

    tathmini kwangu ni ngumu ningekua ndo ninaamua mm basi wale Wa kijani ambao hawaelewi wanaamkia wapi wote ningewatoa abaki bashe
  11. nangalebushesha

    Neno la shukrani kwa Watanzania

    kaka mda ndo kila kitu kwani tunasubiri tu siku ya Uhuru ikija watatukamata watatuweka ndani lkn tusonge mbele refer to Mandela pamoja nafikiri wajifunze ya kibiti maana nasikia askari wameanza kuua watu Wa cuf ili kustandardize
Back
Top Bottom