Recent content by nanenalugha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kubadilika kwa mke ni tabia chafu za mume

    Nikweli kabisa, wanaume wengi wanabadili tabia za wake zao kuwa mbaya
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yako wapi yale majina mazuri kabla ya ndoa

    Mbona michepuko mnawaita majina mazuri eg: baby, sweet, honey iweje mkewako ushindwe kumuita ayo majina yenye mvuto
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke wa kimachame

    Khaaa tumechoka na masimango yenu, na kwa taarafa yenu kabila linalo ongoza kwa kuolewa ni wamachame, toeni kasumba zenu za kizamani apa fyuuuuuuuuu!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni moja unatosha kufungulia duka la vitu vidogo vidogo?

    Nina milioni moja na nusu kwa mtaji huu naweza kufungua duka la vitu vidogovidogo vya nyumbani? Na je inalipa, msaada plz
Back
Top Bottom