Mtaji wa milioni moja unatosha kufungulia duka la vitu vidogo vidogo?

nanenalugha

New Member
Jan 9, 2016
4
2
Nina milioni moja na nusu kwa mtaji huu naweza kufungua duka la vitu vidogovidogo vya nyumbani? Na je inalipa, msaada plz
 
Fanya utafiti wa sehemu na aina ya biashara unayotaka kufanya maana sio kila sehemu duka ni dili
 
Nakushauri uwe na mtaji wa wazo ulilofanyia upembuzi kisha pesa hufuata. Je million moja uliyonayo yaweza kufungua duka tu? Hakuna shughuli nyingine? Je maduka mengine yapo na ya nafanya vizuri? Je langu litawazidi waliotangulia ili wateja wasiwe shida? Je bidhaa nitakazo leta ndio hitaji la wateja? Hakuna mwenye bidhaa kama Zangu? Nani atakuwa anauza Dukani? Nani atakuwa anafuata Mali? Nknk
 
Iyo m1 bora uanzishe bustani ya mbogamboga duka utasubiri sana.
Kama wote wangekua hawana maduka ungenunua wap vitu
Kiwandani??
Kila kitu ni malengo wewe muache mwenzio afungue
LAMSING NI KUUZA VITU VINAVYOHTAJIKA KWA SANA ENEO USIKA
 
Si kaomba ushaur. Kwani lazima nisupport. Duka kwa m1.5 kwa hesabu ya haraka kama ni eneo lenye mzunguko wa hela iyo m1 itaishia kwenye kodi ya chumba.
 
Back
Top Bottom