Recent content by Nando

  1. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wazima hapa, nilipotea kidogo kutokana na sehemu niliyokuwepo huko nchini Botswana, Botswana kwenye bar nyingi story tulikuwa tunapiga ni ujio wa huyu beki kitasa andreas christensean na usajili wa ross barkley. Ila raia wengi hawamuelewi bakayoko wanasema ikiwezekana atolewe hata kwa mkopo...
  2. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    drinkwater mpambanaji uwezo wake unajulikana ila huyo bakayoko mimi namjua toka akiwa monaco sijawahi mkubali huyu dogo. ni mzito sana sio mobile player kama akina kante, kasemilo, tolliso, herrera, matic. tulizembea sana kuchelewa kwa tolliso na akaenda bayern ona anavowasha moto kule, sisi...
  3. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    sevilla
  4. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    anakera sana anavoanguka anguka kama ana kifafa. namkubali morata kuwa ni briliant striker ila tabia yake ya kujiangusha sasa ndo tatizo.
  5. N

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    mkuu na sisi kwetu chelsea tunae cahili ndo captain asiyependwa kuliko wote nadhani, na sisi tunalia na antonio conte kutupangia weak captain na ndo weak link. cahili akianza 1st11 ni pressure mda wote mara ajifunge mara aanguke kwa kuteleza hana pace.
  6. N

    Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    umenichekesha sana mkuu, ungefaa zaidi kuwa bongomovie maana uongo unaujua kuuvisha ukweli.
  7. N

    Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    kupata vichekesho kama hivi nafanyaje????
  8. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    uliangalia game za mwanzo ambazo kante na drink water walikuwa majeruhi?????? fab alicheza na bakayoko unajua matokeo yalikuaje???? tukafungwa game 2. kwanini conte alikua anampiga benchi last season????? jibu ni fab hana pace. kinachombeba this season ni shifting to 3-5-2. ila fab mda wake...
  9. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mkuu una mawazo kama yangu, nilikuwa sijasoma hii post yako kumbe tumewaza the same. bakayoko anaanzaje mbele ya willian+pedro????????? fabregas kashakuwa mhenga hakabi so anaanzaje mbele ya drinkwater???? fab/bakayoko waanze mbele ya willian+pedro+drinkwater????? kama sio utani ni nini huu.
  10. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    willy cabarero kwanini asiwe anapewa na yeye baadhi ya mechi hata za league au kama ya jana ili nae asafishe nyota?????.. maana cutwaa epl+uefa yeye hadi baadhi ya game anakosa morali. fanya hata rotation ya makipa ikiwezekana. Kennedy mrudishe left wingback dogo anakaba na anapandisha...
  11. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Anatakiwa striker wa maana kama mauro icard, huyu morata kashanichosha na kuanguka anguka kama ana kifafa. mtu unayefanya mazoezi daily unakosaje nguvu as morata is????? kuna facilities nzuri za mazoezi e.g international gym bado mtu unakuwa mlaini kama mpemba????? morata ni bonge la striker ila...
  12. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tolliso kawasha moto bayern na kaingia kwenye kikosi direct tena ambacho kimejaa viungo wa dunia akina atulo vidal, ila sisi tunamtegemea waste bakayoko. antonio conte cahili katokota ila bado unamkumbatia mbona hufanyi hivyo kwa willian????? willian kavurunda mechi mbili matokeo yake hadi leo...
  13. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bakayoko sijawahi mkubali toka akiwa monaco, nilimuona semi final against juventus alicheza hovyo hadi kocha akamtoa second half mwanzoni kabisa. bodi ya chelsea ilizembea sana kwa tolliso huyu tulikuwa tunamchukua na mwenyewe alikuwa willing kuja. matokeo yake tumekuja angukia kwa waste...
  14. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    karibu sana kwenye jukwaa kocha wetu. ila tunakuomba huyu kijana bakayoko mpumzishe au awe anacheza mechi zisizo na ushindani au pressure mfano carabao cup+fa cup+weak team. tengeneza partnership ya kante+drinkwater. drinkwater mtu wa kazi hastahili kukaa benchi mbele ya waste bakayoko.
  15. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    CHELSEA FC: WHY THE BLUES ARE UNDER PRESSURE AHEAD OF MAN UNITED CLASH Chelsea FC: Why the Blues are under pressure ahead of Man United cla
Back
Top Bottom