dah Ila mwambie Mwamba kwa hili kweli kazingua,anaanzaje Family man,tena akija aje na doti ya khanga ya kukutaka radhi.Mengine kwa wenye watoto na wenza waliotengana muwe mnafikiri pande zote
Na hili lakurudisha mahari wakati umesha pata uzao nae limekaeje katika tamaduni za huko kwenu au wazee...
Hapo tambua kuna mambo mawili,kuna kusoma na kuelimika na kutumia elimu kuratibu mambo,na kunakusoma ukaelimika na kushindwa kuratibu mambo kisomi,hili la kwanza,
Pili hakuna binadamu asie na mapungufu,hivyo basi kumhukumu mtu kwa mabaya na kushindwa kuona mema/jema lake nalo ni tatizo,
Lukuvi...
Ni saw a Ila haiondoi ukweli kwamba umeme ni huduma muhimu pamoja na kwamba inagharama zake,Ila kukosekana plan b ya kum2liza maumivu huyu muhitaji siyo sawa,kwanini pasiwepo installment hata yenye riba?hivi hata mabenki hayawezi kuwekeza mkamalizana kwenye bili taratibu,hivi kweli kwa mitazamo...
Ndo maana kulikuwa na kamgomofulani tanesco kwenye new connections,hakika tutaisoma no,hakuna yeyote wa kulitolea maelezo hili,hata waziri kuja na options za kupunguza hiki kitu kizito katika huduma hii muhimu,japo hata installment unalipa nusu nusu mnakatana kwenye bili,kweli mwenyeshibe...
Aisee
hivi ndugu,
Ni wangapi waliosoma Ila bado ufunguo wa maisha hawajaupata,hebu tuwe positive katika kuangalia mambo,yeyote atakaecopy na kupest haya maneno ya motivation speakers lazima ile kwake,ila kwa yeyote anae yaangalia akayapima vizuri pale kwenye walakini akaingia in deep kupata...
Ndugu,
Any update so far ,kwavile mkobize kufikisha taarifa zetu tunazofikisha kupitia jukwaa letu hili pendwa wacha tuwasaidie pia kuwakumbusha kufuatilia mrejesho wa haya tunayoyaleta,taarifa zikiwa za pande zote 2 huonyesha commitment hasa.
Msaada kupata control no kulipia maunganisho ya umeme toka october 2021
Jina: Khalima Ramadhani Mwachirua
Eneo:Nyasa shuleni
Wilaya:Masasi
No ya simu 0682985792/0625842303
Tatizo:kupata control no ya kulipia maunganisho ya umeme,
Tokalini:last update from office past two weeks,kunahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.