We jamaa wa mwisho kabisa,hivi hauangalii hata takwimu,kuanzia mapato na kila kitu...njombe inakuzwa na wenyeji wake,kahama inakuzwa na wahamia...unadhani upi ni mji consistency,mzee hiyo mitaji unayowaona nayo wakinga maeneo yeyote wameanzia njombe,sasa kahama kuna wakina nani matajiri wakubwa...