Tanesco Temeke hawaoneshi ushirikiano. Wamepigiwa simu toka saa 7 kwamba kuna tatizo la umeme Vetenary. Mpaka sasa saa 12 hakuna cha fundi yeyote aliyefika hapa, na hiyo simu ikipigwa sasahivi haipokelewi.
Ni vyema wakawa wawazi na changamoto zinazowakwamisha kuliko kukaa kimya.
Tanzania ni nchi huru yenye kujiamria mambo yake pasipo kuingiliwa na nchi yoyote, pia sisi watanzania zaidi ya milioni 12 ndio tumemchagua atutumikie hivyo hao mawakala wa mabeberu watuache
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi...
Ofisi ya Waziri mkuu imeziagiza Jeshi la Magereza nchini na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),zinazotekeleza kwa pamoja mradi wa zaidi ya shilingi bilioni 75 wa kiwanda cha bidhaa za ngozi eneo la Karanga,Moshi,Mkoani Kilimanjaro,ambao umefikia asilimia 95 kuhakikisha...
Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega mara baada ya uzinduzi wa bodi hiyo Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma
SERIKALI...
KATIKA miaka hii minne na ushei ya uongozi wa Rais Dk John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana kwa kiasi kikubwa na rais wa awamu ya kwanza, hayati Mwalimu Julius Nyerere
Uzoefu unaonesha kuwa, viongozi wenye sifa zinazofanana hata kama wangepishana...
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka, amesema hatawavumilia watumishi wazembe ndani ya Shirika badala yake siku zao zinahesabika. Dkt. Mwinuka alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku sita kwa watumishi wapya 958 walioajiriwa hivi karibuni.
BENJAMIN MASESE - MWANZA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) zimeeleza sababu zilizochangia wengi kushindwa kusajili laini za simu zao kwa wakati.
Zimesema hadi kufikia Desemba 31, mwaka jana, laini za simu zilizokuwa zimesajiliwa kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.