Mtu anapandikizwa onekane anajitolea kumbe Kuna mtu anatuibia tanganyika afu anamwekea mtu huko Barclays londoni kwa makubaliano kua ajifanye anajitolea zanzibar
Hivi Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar tunaiona. Rais wa Tanganyika yuko wapi? Mbona wa Zanzibar tunamjua. Bendera ya Tanganyika iko wapi? Mbona ya Zanzibar ipo. Na katiba je ya Tanganyika maana ya Zanzibar ipo.
Nadhani kuna mahala Nyerere alikosea hesabu zake au alitaka sifa kwamba yeye ni...
Zanzibar ni mali ya tanganyika ukae ukijua hilo, ni vile tu nyerere hakua mchangamfu na kupenda saaaana maongezi mareeeefu bila vitendo. Ilikua ni swala tu la kusema naifuta Zanzibar na wote tutakua watanganyika
Akili huna, kwa hyo Ethiopia kujenga bwawa kubwa kabisa la kuzalisha umeme ni wajinga? Haya huyo kikwete wako alieanzisha mradi wa gesi huko mnazi bei na kutuambia tunanunua gesi kwa bei ya chini na gesi itafanya umeme usikatike yako wapi? Yani Kuna vimtu vinajifanya vigreat thinker rrrr kumbe...
Jamani naomba niulize hivi ni wapi ambapo ni mjini ambapo Kuna taasisi za serikali na makazi ya watu na usafiri na uwepo wa taasisi za kifedha ambapo unaweza kufidiwa square mita moja kwa Tsh. 306? Yaani namaanisha hivi ni wapi ambapo ni makao makuu ya wilaya tena upo karibu na ofisi za...
Mimi nadhani wimbo wetu tukufu wa taifa unafaa kubadilishwa hasa pale panaposema WABARIKI VIO-NGOZI WETU maana haiwezekani tukawa tunawaombea baraka viongozi matapeli, wanyanyasaji na wakandamizaji Kama baadhi ya hawa tulio nao.
Na huwenda haya tunayopitia na kutosikiwa na Mungu huwenda ni...
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana.
Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana...
Leo nlikua maeneo ya kawe beach nkafika maeneo ya kikwete ambapo zamani kabla yake palikua na mfereji/mto mkuuubwa unaotiririsha maji yake bahari ya hindi. Mfereji huo ulikua ukikua,kutanuka na komong'onyoa sehemu ya ardhi ya makazi hayo lkn leo hii baada ya mheshimiwa kujengewa hapo basi...
Waziri kazi yake kuvaa makoti, masuti na kutoa maagizo yasiyotekelezeka. Ili upate haki yako hyo wizara nipewe mi, ndani ya miezi miwili migogoro yote itakua imeisha. Maafisa ardhi na viongozi wa serikali wanachangia kwa 50% ya migogoro ya ardhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.