Recent content by nanawoo

  1. nanawoo

    Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Hili jizee la hovyo sana halijitambui kabisa
  2. nanawoo

    I am single again

    Ushapata mtu na una mtoto sasa hv au
  3. nanawoo

    Mistubishi pajero 2800 interculla, kwa 10 mls nitakula nimepigwa?

    Chukua hiyo ni kama ndoa ya kikatoliki hamuachan milele
  4. nanawoo

    Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

    Na still azam walizuiwa kuingia uwanja wa taifa hafi mabaunsa wao siku ya mechi hadi muda wa jion kabisa
  5. nanawoo

    Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

    Bora tufungiwe maana ajisemee jamaa yangu shirikisho la mpira linaendeshwa na mtu hajawah kucheza hata cha ndimu hana alijualo zaid ya kuvaa koti lake kama mganga wa kienyej
  6. nanawoo

    Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Istiqama tatizo lao kubwa ni ubaguz na baadh ya wanafunzi wao hubebwa sana kisa mtoto wa fulan sasa mwenzangu na mimi pangu patupu hujulikan wewe nani mkazi wa tandale au mwakidila mtoto kama si bandidu atasoma kwa tabu sana
  7. nanawoo

    Shule gani nzuri ya kiislamu? nataka kumpeleka mwanangu

    Mpeleke ALHIKMA narudia tena mpeleke ALHIKMA ukiweza nifate private mimi wafoto.wangu wapo ALHIKMA na maendeleo nayaona darul arkam utakuja kujuta tena sana algebra ndio balaa allahumma ghirllahuu warhamahuu wathkanahu fill janna ni balaa la moto pia
  8. nanawoo

    Sodoma ipo hapa Dar, usiku huu nimeshuhudia mengi

    Ndio laana zenyewe hizo na hapo ni kisuma 5g bulyaga ya zaman
  9. nanawoo

    Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Mzee makosa ni yako na mke ni wako miruzi mingi inampoteza mbwa kumbuka ulimpiga na alikua na hasira na maumivu wakat anatoka akakutana na hao washenz na mtu ukiwa na hasira unafanya chochote wewe msamehe rud nyumban mkae muyajenge muekeane mipaka ya maisha yenu na wewe bwege mwanamke hapigwi na...
  10. nanawoo

    Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

    Yaani we bwege kweli unatongozaje kipumbavu hao hua ukitoka unamlete kijizawad amazing mara moja unampa day worker akusafishie chumba unampa buku 10 kama huna time nae ukirudi zawad kwa style hiyo unajikuta unakula bila kutongoza bwege wewe
  11. nanawoo

    Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    Ni kung'oa tu mkuu no way out usidanganyike la kama unataka kulala vizur weka vumbi la mkongo utalala safi snaa
  12. nanawoo

    Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    NUnua almint chemsha maji kikombe tia kikombe cha kahawa kipande kimoja vha almint kunywa asubui na jion 3 day utakuja kunishkuru 100%
  13. nanawoo

    Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Sio hivyo mkuu pia hata sisi wanaume pia ili tupate utulivu ndio tunakua na wao na kutimia hasa kwa mwanaume ni kua na mke kipimo kikubwa kua kiongoz bora kila mmoja ana faida kiupande wake utulivu wetu sisi unatokana na wao
Back
Top Bottom