Recent content by Nanauner

  1. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bado kitaumana Sana tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wale wa tiGo: Isome kwa mazingatio hii inakuhusu

    Tatizo misambwanda ya kichina
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wale wa tiGo: Isome kwa mazingatio hii inakuhusu

    DDuuh
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Pesa inaongeza nguvu za kiume

    Pesa ni kilakitu hata kitabu kiliruhusu mumemmoja aoe wake wanne ila na uwezo wa fedha. Sio dhambi kushindwa kugegeda kama huna fedha. Fedha na ngono ni marafiki wakubwa sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Polisi waisoma namba; TANESCO wakata umeme kwenye maghorofa ya Polisi Kurasini

    Wapige mabomu yawamulikie
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kupewa uzoefu kuhusu bei ya madini ya green amazonite

    Vp umefaniikiwa? green yako ni kuanzia gm ngapi na itategemea ni ya wapi? huwezi ambiwa bei kabla hayajaonekana coz kuna mengine yanakua na matatizo. mimi ni dearler
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    Kwanini hawa wahindi na waarabu wamekua wakitunyanyasa na nchi yetu? wanaishi kama wafalme nasisi kama watumwa wao. mytake rais Magufuli taifisha mali zao wape siku saba waondoke nchini kwetu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jk wa same magh! Akwea klm usiku huu kwenda u.s.a- ni jonas kadeghe mgombea ubunge!

    Big up Kadeghe, tunajua hugombei ili ugange njaa mana unao! urudi na silaha za kummaliza matayo na ccm yake, mana kura ya maoni ni wewe wengine wagombee udiwani!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jonas Kadeghe: Mgombea Ubunge Same Magharibi na safari yake ya Marekani

    Baada ya kuahirisha safari hiyo toka mwezi wa nne hatimae Kadeghe amekatisha kwa muda wa wiki mbili ziara za kuimarisha chama Same magh, baada ya kuitwa na business partners wake huko marekani! Kadeghe alisema angepaswa kuwa huko kwa mwezi mzma ila anafupisha ili awahi jimboni kuimarisha chama...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jonas Kadeghe: Mgombea Ubunge Same Magharibi na safari yake ya Marekani

    Baada ya kuahirisha safari hiyo toka mwezi wa nne hatimae Kadeghe amekatisha kwa muda wa wiki mbili ziara za kuimarisha chama Same Magharibi, baada ya kuitwa na business partners wake huko Marekani! Kadeghe alisema angepaswa kuwa huko kwa mwezi mzima ila anafupisha ili awahi jimboni kuimarisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bermunda triangle, Area 51

    Tafuta dvd ya profesor WATSON DAVIS wa uganda kaeleza vzr area 51, bermuda triangle na picha za allien wote hadi hadi namba zao za sim! tz imetafsiriwa na msafiri resi
  12. N

    JamiiForums Tanzania M/kiti wa ACT-Tanzania mkoa Morogoro arudisha kadi ya ACT na kurudi CHADEMA

    Huyu Daza ni kilaza wa mwisho! nilsoma nae chuo kikuu moshi, ila hakumalza akafkuzwa kwa tabia za kukurupukia kila jambo, nilimsih kuhusu ACT hakuskia! hafai kwa ubunge hata chembe! mtu aliyeweza kumsaliti Ndesamburo alomsomesha chuo atashindwa kutusaliti kwa mara ya pili? aende ccm kabisa hata...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Tutaztaifsha tu!
Back
Top Bottom