Baada ya kuahirisha safari hiyo toka mwezi wa nne hatimae Kadeghe amekatisha kwa muda wa wiki mbili ziara za kuimarisha chama Same Magharibi, baada ya kuitwa na business partners wake huko Marekani!
Kadeghe alisema angepaswa kuwa huko kwa mwezi mzima ila anafupisha ili awahi jimboni kuimarisha chama!
Wanasemaga! wote tunakutakia safari njema kamanda!