But watu wengi wa Dar hulala uchi kutokana na joto kali na ndio maana enzi za popo bawa alitamba sana kwa sababu hakupata shida ya kuvua magwanda ya watu
Pole kwa yaliyokukuta mbunge wangu.Ulijitahidi kwa uwezo na nguvu zako zote kupigania chama ili kuirudishia CCM pumzi ambayo Tayar ilishaanza kukata..Mh Nape ulikuwa hujuw kwamba hawa Mabwana hawana shukrani..Mh Bado wananchi tuna imani Kubwa na wewe na ndio maana tulikupa kura ukatetee wanyonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.