Recent content by NAMEIDEN

  1. N

    Line za Tigo Pesa na Airtel Money zinahitajika

    Nina line ya tigo pesa nimesajili kwa alama ya vidole nauza 150000 nicheck 0718243402 ipo active hadi ss hv inafanya kazi,
  2. N

    Mnaohangaika mitaji pitia hapo

    MH,,SISI TUMEJIUNGA TOKA JULY HADI LEO HII BADO PROCESS ZINAENDELEA KWAKWELI KWNY PESA SIO KITU RAHISI KUPATA HASA HII MIKOPO YA SERIKALI INA PROCESS SAANA,DI
  3. N

    Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Uza kuku wa nyama namaana mapaja vidali miguu na vitu vyoote vya kuku na viazi vya kukaanga,, kwa huo mtaji unatosha kabisaa,,tafuta banda si frem itakucost,,
  4. N

    Nimepata dharura nahitaji mkopo wa haraka sana

    Nicheck mkuu nikuelekeze somewhr wanakopesha kwa dhamana ya gari
  5. N

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Sisi survey ameshakuja amepima badae wanatuambia vifaa hamna tunamiezi mitatu sasa hawajafika tena na badae tunafatilia tunakuta ofis imefungwa ni huku kuna itwa msingwa ukifika mbezi msuguri unaingia ndani ndani hili suala limekaaje na documents zote zipo huko..
  6. N

    Njia 16 za asili za kuondoa sumu mwilini

    Shukran kwa taarifa Sir Yahaya,
Back
Top Bottom