Habari za jioni?
Kuna barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana japokuwa kuna wananchi wengi sana wanaoishi kwenye barabara hiyo ambayo ipo kwa kiwango cha CHANGARAWE.
Barabara hiyo inakwenda kwenye machimbo ya mawe ya kujengea nyumba...
Ni uzembe tu wa viongozi wetu kutokuona mambo kwa ukubwa wake.
Benjamin Mkapa sekondari imejengwa na kuanza kutumika mwisho wa 90s(98/99)
Muda huo tayari Kariakoo na maeneo jirani yalishaonesha dalili za kujaa watu kwa Kasi ya 6G.
Nchi imejaa mauzauza mengi sana.
Unajua gharama za kuchoma mwili? Mwili hauchomwi kwa pumba za mpunga.
Gharama za kuchoma ni lazima(uniform) sio kuzika ambako hata ukizika kwa mkeka,shuka ni sawa tu sio lazima jeneza la mninga?
Just Google kuona gharama za kuchoma maiti uje hapa usemwe neno.
Kwa vyama vya siasa,Asasi za kiraia zinamiliki majeshi na silaha za kivita?? Na ndio walioua watu?
Kweli wewe ni uharo mtupu no need to waste my time with stupidity.
Na Ile tume iliyoandika watu 518 waliuawa hiyo Oktoba nao ni waongo wanaleta porojo?
Grow up kijana acha uchawa wa kikyum@ hii nchi haitaki akili kama zako..
Miaka kandaa nyuma Polepole alijiona yupo salama ..lakini leo yupo wapi?
Hakuna aliye salama ukweli usemwe tu.
Endelea kukaza fuvu na...
Kuna watu October 29 walipigwa risasi wakiwa kwenye mabanda ya mpira wengine ndani ya nyumba zao..
Hao wote nao wapo kwenye kundi la wahalifu?
Mahakama ni za kazi gani kama watu wanatekwa na kupotezwa kwa kigezo cha wahalifu?
Mleta mada kitie kidole kwenye tupu yako ya nyuma kisha kinuse...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.