Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,440
- 74,056
Hakuna Kabila Zuri Wala BayaUpuuzi wa kutosha
Wameshindwana Taarifa Katoa Upande Mmoja
Dada Angesikilizwa Huenda Upepo Ungevuma Vibaya
Hakuna Kabila Zuri Wala BayaUpuuzi wa kutosha
Hakuna Kabila Zuri Wala BayaUpuuzi wa kutosha
Kabisa Ndembendembe Kifo Cha Mende Mlalo Wa Chali 😀🔥😬🤣😃😂😅Kwishaaa
Bwashee ,mishe ni aje
Kwa iyo sa hivi unamakovu kama yote..wanawake wa uru kibosho na machame kama huna sababu za msingi sio wa kuoaBado tuh nauguza majeraha.maasai nilidanganywa na shepu nikakutana na mkibosho. penzi lilishamir ila mazoea yalipozidi akaanza dharau na matusi.mim nikamwonyesha ubabe wakimaasai. ila matokeo yake alinimwagia chai moto niliungua vibaya sana.naye kuona yale akakimbia huku akinibia lak 2 pamoja na simu. kiukwel siwez dhubutu kuoa ama kuwa na mpenz kweny kabila lingin tofaut na maasai.
Sababu za msingi ni kama zipi mkuu? Huenda ikawa ninazo, natamani mmachame hapa!Kwa iyo sa hivi unamakovu kama yote..wanawake wa uru kibosho na machame kama huna sababu za msingi sio wa kuoa
Kwa kifupi mwanamke wa kabila hilo akupende qewe na ujidhihirishie wee .zaidi ya hapo kudumu ni ngumu sana hua wanawake wa kabila hilo hawadumu kwenye ndoa zaoSababu za msingi ni kama zipi mkuu? Huenda ikawa ninazo, natamani mmachame hapa!
Unatatizo Mkuu huwezi kuoa tu kwasabu ya kabila tu, maisha kwako yatakuwa mgumu.Bado tuh nauguza majeraha.maasai nilidanganywa na shepu nikakutana na mkibosho. penzi lilishamir ila mazoea yalipozidi akaanza dharau na matusi.mim nikamwonyesha ubabe wakimaasai. ila matokeo yake alinimwagia chai moto niliungua vibaya sana.naye kuona yale akakimbia huku akinibia lak 2 pamoja na simu. kiukwel siwez dhubutu kuoa ama kuwa na mpenz kweny kabila lingin tofaut na maasai.
Pambaneni mpate katiba mpya.Bado tuh nauguza majeraha.maasai nilidanganywa na shepu nikakutana na mkibosho. penzi lilishamir ila mazoea yalipozidi akaanza dharau na matusi.mim nikamwonyesha ubabe wakimaasai. ila matokeo yake alinimwagia chai moto niliungua vibaya sana.naye kuona yale akakimbia huku akinibia lak 2 pamoja na simu. kiukwel siwez dhubutu kuoa ama kuwa na mpenz kweny kabila lingin tofaut na maasai.