Recent content by Nambarione

  1. N

    Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Makundi yaliyotoa Wakuu wa Wilaya ni TBC, ITV, AZAM, CLOUDS, Polisi, Jeshini, Bongo Movies, Bongo Fleva, Waunga Mkono Juhudi kutoka Chadema, UVCCM, Ma-Miss, na Wabunge waliokosa majimbo, na Wakuu wa Wilaya waliokuwepo. Ni mchanganyiko mzuri ila sina uhakika kama wote wana fit kuwa wahamasishaji...
  2. N

    Tukishindwa kesi ya 'makinikia' wajumbe wake wapigwe risasi hadharani, fundisho kwa wataalamu waongo

    Hutakiwi kuwa na hofu bro unapozungumzia uongo wa tume ya mruma. Wewe pitia tu summary ya madini ya thamani waliyoyapata kwenye kontena moja utachoka kabisa. Eti yawezekana vipi kontena la uzito wa tani 20 madini yote aliyoyakuta mruma yawe na uzito wa tani 20.7 plus? Hii hujaongeza kasha la...
  3. N

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Inaelekea Prof. Mruma na timu yake walikuwa na lao jambo hata katika uandishi wa mapendekezo yao. Kwa nini hawakusema chochote kuhusu mwizi Acacia zaidi ya kusema yale makontena 277 yaendelee kubakia bandarini? Nilitegemea pendekezo la kwanza liwe Acacia kutakiwa kulipa fedha za umma alizokwepa...
  4. N

    Miezi nane tangu sakata la makinikia lianze kufukuta, je wahusika hawakamatiki?

    Kuwakamata hao ni kuwaonea tu, maana walichokuwa wanafanya ni utekelezaji wa mfumo uliowekwa na utawala wà àwàmu hiyo. Hakuna aliyekula rushwa ya Acacia hapo. Pià kumbuka wengine kama Kalemani amepandà cheo. Hivyo, busara ni kuwaweka huru kama JPM alivyomuwekà huru Prof Mruma alivyotuhumiwà na...
  5. N

    Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

    Jamani hatua tuliyofikia ni nzuri sana na inastahili kupongezwa. Hizo technicalities zitakuwa sorted out with time. Kikubwa mimi nilichopongeza ni local contractors kufànyà kazi zote, hapo tutafaidi sana kama nchi. Uki sum up makubaliano yote hayo utaona kuwa tupo kwenye +ve side, ndio maana...
  6. N

    Zitto: Bila aibu watatokea watu watatetea hili igizo la Tanzania na Barrick. Hivi $300m ni % ngapi ya $194 bilioni?

    Kwa mujibu wa taarifa ya leo, tulikuwa hatuibiwi kama taarifa ya prof mruma ilivyosema. Isipokuwa ulikuwa ni mkakati mzuri wa JPM kuwalainisha Acacia. Makubaliano ya leo yasingefikiwa bila mkwàra ule.
  7. N

    Profesa Kabudi: Kikwete na Mkapa haifai kuwataja kwenye kashfa sababu tunatunza heshima yao

    Taarifa haikutaja wote kwa majina lakini pendekezo ni wote wachunguzwe. Mfano Maafisa wa TRA hawakutajwa na Wana sheria wa Wizara ya Nishati na Madini hawakutajwa sawa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyesaini mkataba wa Bulyanhulu. Hivyo kama msimamo ni huo wa kwako tutapoteza...
  8. N

    Acacia likely to face 'large' cash sum to resolve Tanzania dispute - Broker Numis

    Mimi ninapoisoma hiyo between the line haina maana kuwa Acacia wamekamatika kwa kudanganya bali ni kama inawakosoa wasiendelee kukaa kizembe kwani report ya pili ikitoka na kuwa negative share zao zitaporomoka zaidi. Ni kama anawahimiza wachukue legal action mapema kulinda share zao. Otherwise...
  9. N

    Wapambe na Mashabiki wa Makanikia Mnaharibu Mambo!!!

    Suala la wizi linakosa mashiko kwa kuwa halijathibitishwa na neutral committee. Una maoni gani iwapo tutajiaminisha kuwa Acacia wametuibia kwa kubase taarifa ya Mruma halafu uchunguzi huru ukathibitisha kuwa hakuna tatizo? Ndio maana watu wanataka twende pole
  10. N

    Sijamwelewa Waziri Mkuu ujue?

    Mimi nadhani adhabu sahihi kwao ni kunyongwa. Walipika hizo data makusudi ili kuumiza Maafisa wa serikali waliohukumiwa kuwa eti wameitia serikali hasara kubwa. Dawa hapa wasindikize hayo makontena hadi kwenye smelter yakachambuliwe tuone tutapata hayo madini waliyoyasema kwenye taarifa yao...
  11. N

    Early resolution unlikely in Acacia Mining dispute believes Jefferies

    Kwa kweli findings za kamati zinaleta ukakasi sana. Hivi inawezekanaje mgodi utupe tu nje makinikia bila ulinzi mkali wakati gold bar zinalindwa hatari strong room? Hivi inawezekanaje mgodi usafirishe gold bar 6 kwa ndege halafu makontena yenye dhahabu nyingi yaje kwa barabara tena na driver...
  12. N

    Rais Magufuli atapokea ripoti ya mchanga wa madini leo Ikulu, Redio na TV kurusha LIVE!

    Kesho mbivu mbichi kujulikana. Ngoja tuone kazi ya Maprofesa itakuwa bomba au pumba! Yetu masikio
  13. N

    Bunge lisilo na uwezo kuirekebisha serikali ni haki kuwepo?

    Rejea Bunge la USA serikali ilipopeleka muswada wa kufuta Obamacare waliangukia pua. Baadhi ya wawakilishi wa cham tawala waliungana na democrats kupinga na muswad ukaondolewa. Mifano ni mingi bro.
  14. N

    CAG: Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida, hapa kuna tatizo

    Pamoja na kazi nzuri ya CAG nadhani sio kweli kuwa hawajalipa corporate tax. Taarifa za TMAA zinaonesha baadhi ya migodi imelipa kiasi kikubwa cha corporate tax. Resolute na Pangea wamelipa. Angalia annual reports za TMAA www.tmaa.go.tz
Back
Top Bottom