chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,171
- 25,927
Kwa sasa Kalemani ndio naibu waziri,nishati na madini!!
Kabla,alikuwa mkurugenzi wa sheria
Mkurugenzi wa sheria ndio mshauri mkuu wa wizara kuhusu mikataba mbalimbali ikiwamo ya madini,nishati
Nadhani ndugu Kalemani anayajua vizuri mambo ya migodi hii,mikataba ya tanesco na mambo yooote yaliyoikumba wizara hii,lazima ilipita katika dawati lake kama kiungo kikuu,
nadhani si vyema akabaki wizarani kwa kuwa baadhi ya mikataba alihusika kuijadili na kuiandaa na pengine "kuipigia debe"na kusimamia utekelezaji wake,iwe kusafirisha mchanga,ama mambo ya mikataba ya tanesco,ilee isiyoeleweka,lazima anaonekana katika minutes za vikao vya wizara kukubaliana,sasa leo atawezaji kusimamia kukipinga kile alichojadili na kukipitisha?
Nina maoni kwamba kwa kuwa nchi imetangaza mgogoro dhidi ya mikataba ya wizara hii,basi angetupisha na akajiuzuru serikalini kwa nafasi zote ili asizuie uchunguzi au kuuingilia,kwa mfano wanaoenda kuchunguza hao maafisa,atawapokea yeye wizarani, sasa watajihisi wako
huru?