Early resolution unlikely in Acacia Mining dispute believes Jefferies

Early resolution unlikely in Acacia Mining dispute believes Jefferies

Mkuu hizo sheria za mtu kukuibia hlf na kesi anashinda ni dunia gn?
Ndio maana kesi haiko Kisutu kuna hizo mahakama za kimataifa za migogoro ya kibiashara, wanaangalia mikataba mkuu.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiyo mikataba haiwekwi wazi?
Mkuu mimi nimeshaona mtu kaibiwa na bado kalipishwa na akalipa.
Umesahau ESCROW??
 
Mikataba ni mibovu sana mkuu lkn as if that is not enough bado wanadeclare vitu vya uongo
Basi report haina maana. Maana watu wanachotaka kujua ni grade zilizotajwa na tume ni sahihi ama. Tukitoka hapo ndio tuje kwenye mikataba. Nipo tayari kusahihishwa
 
.. Rudi, shule kasome upya.. Mitanzania mna vichwa vigumu sana.. Mkataba, mlisaini, hamkusaini? Venuzuela walijipanua panua midomo hivo hivo chavez akapora, makampuni ya, mafuta ya marekani.. Ona kilichofuata mpaka leo
Hata kama tulisaini. Sheria za mikataba hazitetei wizi au udanganyifu unaojitokeza wakati wa utekelezaji wa mkataba.

Ndio maana TMAA kama taasisi ya serikali majukumu yake yalikuwa ni kuhakiki content iliyomo ndani ya concentrate inalingana na makubaliano ndani ya mkataba.

Kinyume chake ni wizi ndio maana hata wao Acacia hawajaongelea habari ya mkataba bali wamejitetea kuwa content iliyomo kwenye concentrate ndio waliokubaliana. Vinginevyo Acacia wangeweza kusema kilichofanyika ni ni breach of contract. Nenda shule kasome tena
 
Zile sio finding ni ushuzi.. Kuwezi ukabaki na dhahabu nyingi kwenye mabaki kuliko uliyo extract...
Kwa kweli findings za kamati zinaleta ukakasi sana. Hivi inawezekanaje mgodi utupe tu nje makinikia bila ulinzi mkali wakati gold bar zinalindwa hatari strong room? Hivi inawezekanaje mgodi usafirishe gold bar 6 kwa ndege halafu makontena yenye dhahabu nyingi yaje kwa barabara tena na driver mmoja tu? Hivi kama huo ndio utajiri wa migodi hiyo. Wao hawapendi kuitwa wazishaji namba moja duniani ili hisa zipande kwenye soko? Hivi hiyo fedha ya ziada wanaificha wapi kwenye akaunti gani ambayo serikali zote haziwezi kuona? Hapa nakubaliana na wengine kuwa kamati imemuingiza kwenye chaka Rais wetu mpendwa. Nashauri awaite mapema wathibitishe hizo data zao kuwa ni kweli, na ikija kuonekana sio kweli wanyongwe. Wamesababishia shida familia nyingi kwa uongo wao, eti tumeibiwa sana. What a hell is that? Prof Mruma is a devil's agent. Ametesa watu wengi sasa wanachunguzwa wakati walitimiza wajibu wao kwa uaminifu mkubwa.
 
Ni mahakama ya dunia ya kimataifa na mikataba ya hovyo tuliyoingia ndio inavyotaka. Tuombe Mungu hili liishe out of International Bussiness Disputes Court..najua tuko sahihi kiasi gani mahakama ya usuluhishi ya kimataifa ndio itajua
Mbaya zaidi wanasheria wetu wa serikali sijiu kama huko mahakamani tutashinda!!!!!
 
Ndio maana kesi haiko Kisutu kuna hizo mahakama za kimataifa za migogoro ya kibiashara, wanaangalia mikataba mkuu.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiyo mikataba haiwekwi wazi?
Mkuu mimi nimeshaona mtu kaibiwa na bado kalipishwa na akalipa.
Umesahau ESCROW??
Sikiliza Mkuu, ni wajibu wa serikali kujiridhisha kama kinachouzwa kina reflect makubalino. That's why TMAA ipo na moja ya majukumu yake ni kuhakiki kiwango cha madini kabla ya kusafirishwa concentrates. Ninachoamini tutalazimika kulipa fidia pale itakapobainika kuwa matokeo ya tume ya ukaguzi wa concentrates si sahihi. Vinginevyo Acacia inabidi wawe mapole wakae mezani na kukubaliana upya na serikali
 
Ukifungwa what next?
Maanake Biashara Imekufa tena kwa akili yako hata wakishinda Kesi wataendelea na Production tena Tanzania?

Naamini Hata North Mara itafungwa.
 
Sikiliza Mkuu, ni wajibu wa serikali kujiridhisha kama kinachouzwa kina reflect makubalino. That's why TMAA ipo na moja ya majukumu yake ni kuhakiki kiwango cha madini kabla ya kusafirishwa concentrates. Ninachoamini tutalazimika kulipa fidia pale itakapobainika kuwa matokeo ya tume ya ukaguzi wa concentrates si sahihi. Vinginevyo Acacia inabidi wawe mapole wakae mezani na kukubaliana upya na serikali

Ndugu yangu unajua kuwa tayari uko mkataba kati yao na serikali, ambao wenyewe tulikubali kuwa ikitokea mgogoro hizo mahakama za nje ndio zisuluhishe, ukiisoma hiyo taarifa kwa kuzuia tu usafirishwaji wa huo mchanga jamaa wanapata hasara.
Unadhani tukienda kwenye mahakama nani atashinda?
Ona hiyo hasara wanayopata kwa siku.
 
dhahabu iliyoko kwenye mchanga ni nyingi mno inatosha kufadhili bajeti ya serikali tunaibiwa sana.
 
Hii inaonesha kwamba hawa jamaa walikuwa wanatudanganya hata kiwango cha dhahabu wanachozalisha, kupitia hii report tunaona kuwa inawezekana kabisa tukawa nchi ya kwanza kwa kuzalisha dhahabu nyingi duniani, keep it up president
 
Back
Top Bottom