CHASHA FARMING,
Hapo nakuunga mkono kabisa, mtaji wa kwanza ni wazo lako na sio pesa kwanza kitu ambacho wengi hawaelewi. Kuna watu wana pesa ila hawajui jinsi ya kuzizalisha (sio kuzitumia). Tengeneza wazo lako vizuri, fanya utafiti wa kibiashara vizuri !
By Namavani,
mh...ndugu yangu muogope MUNGU usiangalie ya dunia kwani yatakupotosha na kukuangamiza, ukwel haufichic kamwe na ukijulikana elimu yako utaisahamu utaishia jela km babu Sea hivyo usisikilize ya kila mtu wala kufuata hisia zako bali fuata hekima yenye mafundisho yaliyo salama-NENO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.