Recent content by namanga-kitonga

  1. namanga-kitonga

    Yanayotukera pindi tukisafiri

    Ww acha ty ndio nini? Wa Kimboka utawajua tu. Akili kizibo cha soda.
  2. namanga-kitonga

    Yanayotukera pindi tukisafiri

    Mwandiko wako wa bata. Yanayotukela ndio nini?
  3. namanga-kitonga

    Kanuna eti kisa hajapishwa siti ya daladala akae na mwanae

    [emoji3][emoji3][emoji3], kupakata mtoto wa mtu kwenye daladala ni mtihani.
  4. namanga-kitonga

    Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

    Nchi ambazo bei ya bidhaa zimepanda sio Ghana au Zimbabwe, zipo nyingi tu bila kusahau kwa wenzetu walioendelea. Nchini bei a bidhaa sio za juu sana kulinganisha na nchi zingine. Tukumbuke Covid-19 and Rusia/Ukraine conflict effects dunia kwa sasa kiuchumi na kusababisha inflations kuwa juu...
  5. namanga-kitonga

    Mji wa Bolgorod wa Urusi washambuliwa kwa milipuko

    Tunakukosoa kwa ujinga na uharo huu wa uandishi wako. ULUSI ndio nini?? TEURE ndio nini?? MIRIPUKO ndio nini?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  6. namanga-kitonga

    Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Anaelewa/ataelewa ulichokisema professionaly hivi kweli?
  7. namanga-kitonga

    Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Ana mtaji kweli? Au lawama tu kwa Serikali. Huyo ni sawa na wale jamaa wa nadharia/business modal kibao darasani ila ku-implement theories into practice is miracle.
  8. namanga-kitonga

    Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

    Umeandika ki-facebook mno. Hariri kwanza ndio uachie uzi. Mbona lawama kwa Serikali? Lundusi hawajambo au upo Matomondo? Nipo Luhuwiko hapa NFRA natunza nafaka, lete nafaka zako zihifadhiwe uache kuzihifadhi hapo Maposeni. Wakunyumba acha kulia lia, njoo La Charlez nipo na Mosile Meneja...
  9. namanga-kitonga

    Miaka michache ijayo Arusha inaenda kuwa na kizazi cha tofauti nchi nzima

    Andika vizuri, na na na na kibao za nini? Au upo Mbeya Pazuri?
  10. namanga-kitonga

    Miaka michache ijayo Arusha inaenda kuwa na kizazi cha tofauti nchi nzima

    Kwetu huku Arachga tukubali tukatae kuna shida [emoji848][emoji848]
  11. namanga-kitonga

    Miaka michache ijayo Arusha inaenda kuwa na kizazi cha tofauti nchi nzima

    Kwetu Arachuga kuna ujinga mwingi. Mleta uzi yuko sahihi. Vijana wa kiume kusuka nywele ndio fasheni. Wanawaza kuolewa na ajuza wa kizungu muda wote. Pombe kali ndio usiseme. Jamii ifanye jambo kuokoa wana Arachuga.
  12. namanga-kitonga

    Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

    [emoji3][emoji3] Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom