Recent content by Nalt

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaza hyo form hapo

    Dah, ikiwa hivi, wedding planners, wauza magauni ya harusi, wanaokodisha maukumbi watapata shida sana, itabidi wawasaidie Mabachela kufanya maandamano.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umevaaje

    Kweli mazungumzo mengine yanakera, mtu anaongea nasty mpaka unashangaa, mtu, hakuhusu, mnachat mambo ya kawaida, ghafla anaanza umevaaje, hapo ulipo umekaa na nani, umekaa kwenye kiti au kitandani n.k, sasa ukute huyo mtu ni Mhindi, Mzungu au Mwarabu, utakoma!, wanaongea upuuzi mpaka basi, wengi...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

    Nahisi hofu yako ni kuwa aliyefariki ni Mkwewe, na huyo Mkufunzi ni Mume mwenzio, yawezekana!, alikuwa na uchungu wa kumpoteza Mama Mkwe wake
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    Ni kweli kabisa hayo mambo yako kwenye nchi nyingi Duniani, so yanapotokea, yasifumbiwe mdomo, wahusika washughulikiwe, wao si bora kuliko wanadamu wenzao, unaweza kuchukuliwa poa na watu wasichukulie kwa uzito, unapomuua mbwa, paka n.k, lakini si Binadamu mwenzako, ni kitu cha kushtua na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    Damu ya Binadamu si kama damu ya kuku, kama kuna ukweli kuwa watu hao waliuawa kwa makusudi fulani, mambo yawekwe hadharani, huwezi kufumbia mdomo mauaji ya Binadamu, hata kama si ndugu yako, ni Binadamu mwenzako, lazima ufeel bad kuhusu hilo, kama watu wangekuwa wanaganga yajao na kupotezea...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Uiiiiiiii ukifikia stage hii ya mapenzi bora utekwe na BOKO HARAM WALLAH"

    Hata Wazazi wake wakishangaa, waweza waambia, kuachana kwenu mmekubaliana kwa kuwa kuna jambo mmetofautiana na si rahisi kuliweka sawa
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Uiiiiiiii ukifikia stage hii ya mapenzi bora utekwe na BOKO HARAM WALLAH"

    pole, but teh teh teh, boko haram tena!, ngoja niwasiliane nao waje wakuchukue,wakakufiche, just joking!, embu nenda naye kwa Daktari mzuri wa Kinamama achunguzwe kama yuko ok, au ameshajiharibu sana, na kama ameshajiharibu kabisa na Wewe hutaki Mwanamke wa aina hiyo, achana naye kabisa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Halafu pia ujue sometimes wakati wanapokufuatiliwa, unaweza kupewa, kuingizwa kwenye wakati mgumu bila Wewe kujijua kuwa that situation kuna mtu kaisababisha kwa makusudi ili waone the way unavyopambana nayo, wajue unawafaa, wakupotezee au wajiandae kukuongezea ubora zaidi baadae, na unaweza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Sijui kama nchi ikikosa spies, itakuwa salama vya kutosha, wanatusaidia sana wanapofanya mambo ya kuilinda jamii kikweli dhidi ya watu hatari, but wanapofanya tofauti na hapo, kuwadhuru watu wasio na hatia kwa manufaa ya mtu fulani mkubwa(kigogo), ndipo wanapoenekana kuwa ni wabaya na hawafai...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Ndio, but wanapoact katika namna tofauti tofauti katika kutafuta ukweli wa kuisaidia jamii, wanaisaidia jamii, sio kutumiwa kudhuru watu wasio na hatia kwa manufaa ya mtu fulani mkubwa(kigogo) for example kukamata drug dealers, wanaisaidia jamii, kukamata majambazi wakubwa n.k
  11. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Mi kinachonishangazaga kuhusu watu wa aina hii, jinsi wanavyojua kufanya kazi yao, ni pale mtu anapojifanya kichaa, ombaomba, shoeshiner, mvuta bhangi n.k ile kupata information fulani, unakuta mtu katokea Mwanza anakuja kujifanya kichaa Dar, hakuna anayemjua, anaifanya kazi yake saaafi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Kwa hawa wanaoanza mapema kama sekondari, kwa kweli sijui hata ni saa ngapi wanakuwa trained, yaweza kuwa ni watu waliokwishakuuwa trained somewhere halafu wakaingia shule kama wanafunzi, labda!,ila wewe ambaye bado, huwezi kujijua kuwa unafuatiliwa ili uwe hivyo mpaka baada ya muda fulani...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jua sababu 10 za wanawake wengi kuachika mapema siku hizi

    Ukiona Mwanamke hana mpango na Wewe bed, hana stimu, ujue amekuchoka, hujui au umepunguza kumpetipeti, na ole wako akimpata wa nje anayemfaa vile anavyotaka, utakuwa unacheatiwa mpaka baaasi , jaribu kumpetipeti Mkeo vizuri, uone kama hajabadilika na kukufanya na Wewe uwe happy, ukiona...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Wanajua wao wanawatrain muda gani, mtu unaandaliwa kufanya kitu fulani mapema, ndio maana form three unachagua science, form five unachukua PCB ili Chuo ukasomee Udaktari, uwezi ukachukua HGL form five Chuo ukataka ukasomee Udaktari, maandalizi ni mapema, ingawa kwa hawa watu ni wao...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Are spies made or born?

    Secondary wapo, hao wa Chuo ndio wameshakomaa kabisaaa
Back
Top Bottom