Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

Mchumba Wangu kazimia kwenye msiba

aaah kumbe nikajua mkufunzi kafa kumbe ni mama yake..... basi ajiandae kuingia porini



Mapenzi bana, kama matairi ya magari, you will never meet, wakati wewe unahangaika upate attention kwake, yeye anahangaika kwa mkufunzi hadi kuzima!
 
Mapenzi bana, kama matairi ya magari, you will never meet, wakati wewe unahangaika upate attention kwake, yeye anahangaika kwa mkufunzi hadi kuzima!

ha ha ha hahah mkome kajizimisha makusudi ili mkufunzi aone kweli amekwama loh.
 
Nina mchumba am aye tunapendana sana .yukochuo kimoja jinini Mbeya cha kushangaza kwao kuliwahi tokea misiba mingi haikuwai tokea Hali hii Jana mama wa mkufunzi wake alifariki wakati wanapeleka mwili kuuhifadhi mchumba Wangu alipo mwangalia mwalimu wake gafla akapoteza fahamu kanipigia cm Yuko hospital .je nijue mini kati ya mchumba Wangu na mwalimu wake au nichukulie kawaida?naomba ushauri

Nahisi hofu yako ni kuwa aliyefariki ni Mkwewe, na huyo Mkufunzi ni Mume mwenzio, yawezekana!, alikuwa na uchungu wa kumpoteza Mama Mkwe wake
 
Ulimkuta bikra?
kama ulimkuta bikra basi uko mwenyewe na kama hukumkuta bikra ulijua ilitoka je sasa?
 
Wewe unafikilia kuna nini zaidi zaidi ya huo msiba na kuzimia kwa huyo mchumba wako na ulijuaje kuwa alimuangalia ndipo akazimia.

busness
 
Last edited by a moderator:
LOOH MI SITAKI KUFUMANIA

HATA NIKIA,BIWA MUMEO KAINGIA GUEST NAENDA MUWAIT HOME LOL niahafuamniaga zamani huko tena ni kaboyfurend loooh nilitota mijasho kama nasonga ugali

Sipati picha kikojoleo kilivonuna. Nahisi hata mkojo mwepesi haukutoka.
 
Back
Top Bottom