Recent content by NALO LITAPITA

  1. N

    Punguzo la kamisheni kwa mawakala wa M-Pesa

    Wakuu habari za majukumu? Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nine experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita. Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya mwisho wa mwezi, unapooneshwa salio unaoneshwa na kamisheni ambayo unakuwa umepata mpaka muda huo...
  2. N

    Punguzo la kamisheni kwa mawakala wa MPESA

    Wakuu habari za majukumu? Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nina experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita. Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya mwisho wa mwezi,unapooneshwa salio unaoneshwa na kamisheni ambayo unakuwa umepata mpaka muda huo...
  3. N

    Mashine ya SELCOM inahitajika

    Shilingi ngapi ulinunua mkuu?.
  4. N

    Upatikanaji wa mifuko ya kubebea bidhaa kwa bei ya jumla.

    Wakuu, hongereni na majukumu ya ujenzi wa familiya zenu na nchi kwa ujumla. Mimi ni mjasiriamali mdogo, ninabiashara ndogo eneo la Mbagala. Niliamua kuweka na mifjko hii ya kubebea bidhaa, na ninawauzia watu wenye biashara ndogo ndogo wanaowauzia wateja wao vitu basi wanawauzia na mifuko...
  5. N

    Msaada: Mawasiliano ya Alaptel Kisoka Company LTD

    Wanajukwaa, Tafadhali nisaidieni mwenye mawasiliano na ALAPTEL KISOKA COMPANY LTD au mwenye kufahamu hata mahali ofisi zao zilipo anisaidie.
  6. N

    Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  7. N

    Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  8. N

    Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

    Hata Yusufu muota ndoto alipuuzwa na nduguze hivi. Lema alimuonya mwendazake yakwamba hasipotubu na kugeuka atakufa angali akiwa katika nafasi ya urais. Alipuuzwa akapelekwa mahakamani,Kilichotokea tunakijua.Basi Ndugai tengeneza mambo ya familiya yako uenda inabii huu ukatimia kwako.
  9. N

    Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

    Muktadha wa neno awamu katika uongozi wa nchi yetu limejengwa katika kuuesabu vichwa vya Marais walioliongoza taifa letu. Ni ile hesabu ya kawaida kabisa moja ,mbili nk. Hivyo tumahesabu Nyerere (1),Mwinyi (2),Mkapa (3),Kikwete (4 ) Magufuri (5) na Samia (6). Uchaguzi mkuu hauna kitu chochote...
  10. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Mkuu ulilipwa fao gani? ni lile la kujitoa?.
  11. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Mkuu nakushukuru sana,Nitaenda huko.Hakika JF idumu.
  12. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Shukrani Mkuu, Nitafanya hivyo alafu nitaleta mrejesho. Niliona niwashirikishe wanajukwaa kwa sababu taarifa ya leo imekinzana na taarifa niliyopewa awali kipindi cha kujiunga.
  13. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Wanabodi habari ya majukumu? Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili. Mimi ni mwàjira katika sekta binafsi. Kabla ya serikali kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii nilikuwa mwanachama wa PPF. Baada ya kuunganishwa kwa mifuko tukaelezwa sisi wafanyakazi wa...
  14. N

    Naomba ushauri biashara ya kusajili laini na kuuza vocha

    Mkuu tafadhali,naomba unisaidie kujua wapi nitapata vocha za Tigo na Airtel kwa bei hizo kwa Dar niko Gongo la Mboto ninakibanda cha Mpesa ninauza na vocha pia ila sijapata bado mahali pakuchukulia kwa bei hozi za jumla.Huwa nanunua kwa wanaotuletea vibandani na faida inakuwa inaminywa mno.
Back
Top Bottom