Recent content by Naland

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Ku-equalize 5-0 ni mtihani mzito, lakin no way vita inaendelea
  2. N

    JamiiForums Tanzania Responded Miguel Gamondi: Uwepo wa wachezaji 12 wakigeni kwenye Ligi Kuu unapunguza nafasi ya kutosha kwa wachezaji wazawa

    Gamondi asiturudishe kwenye ukale! Tulisha toka huko na haturudi nyuma. Wachezaji wa kigeni ndio waliofanya ligi yetu kuwa bora. Kama lijitu halina kipaji cha mpira na livivu achana nalo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sandaland: Makonda hana mamlaka ya kuingilia shughuli za chama cha soka, yeye ni ‘third party’

    Ajabu sana! Jezi zimeshatengenezwa, ndo mnaanza kubweka barabarani!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya mahabusu saba na Askari Polisi watano. Poleni Familia za wafiwa

    Ivi, watawala wa nchi hii hawapati somo? Kwamba mahusiano kati ya polisi na wananchi yameharibika sana?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Hakuna hela inayomtosha mwanamke, hili ni kweli
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Kabisa kabisa mzee mwenzangu, Leo nmepata dawa hapa....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ukitoka Eda uje na majibu haya.

    Aeleze pia Yuko wapi Philip Mpango
  8. N

    JamiiForums Tanzania Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Hilo jibu ni kiboko😂
  9. N

    JamiiForums Tanzania Xabi Alonso tuachie timu

    Mourinho alibeba kombe Kwa 4:2:3:1, conte kabeba kombe Kwa 3:4:3, kwahiyo mfumo sio issue inategemea una wachezaji gani wa ku-execute huo mfumo
  10. N

    JamiiForums Tanzania TFF: “Suala la Jezi za Taifa Stars Lipo Mamlaka za Juu”

    Mamlaka za juu ni zipi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kipanya ana maana gani hapa?

    Kwamba, na huyo hawako pamoja! Kazi ipo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Saratani ya tezi dume(prostate cancer) ugonjwa hatari zaidi kwa wanaume usiochukuliwa hatua zaidi

    Dactari hujasema saratan ya tezi dume inasababishwa na nn
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nchimbi resignation and the reality

    The one resigning was a reformist, and the woman above didn't want that!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Panya wanalimaliza Godoro wanatafuna saaaaana

    Nusu ya godoro limeliwa! Tutaanza kulalia chaga
Back
Top Bottom