Nafikiri muda wote anapiga mahesabu ya kuchaguliwa na ccm kuwa mgombea wa urais lakini namhurumia kwani ili cc iliyowekwa na JK ni ya kumchinjia baharini, hivyo hatafika nec ambayo ndo tegemeo lake, pole sana kakaangu EL, nakushauri uanze kupanga karata zako upya tena mapema!