Recent content by nakuja

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

    Kazi ipo eti unajivunia elimu uliyonayo sasa si ujivunie na unafiki wako unaokuzalilisha kila kona kwa sasa?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mahesabu ya Zitto na wapambe wake yamekwenda kombo -- namsikitikia sana!

    Unafiki wa zitto kabwe kwenye siasa ya Tanzania mbaya sana baada ya kusimamishwa vyeo chadema kwa sasa anatapatapa kutunga matamko ya kuonyesha anaungwa mkono na wafuasi walio wengi mpango huu unaratibiwa na Grayson Nyakarungu,Habib Mchange,Mtela Mwampamba na Juliana Shonza baada ya vijana hawa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    hili liwe somo kwa wakazi wa kirumba waone jinsi CCM inavyo nyanyasa raia wake kwa utawala wa kibabe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    mtu aliye huko anadai wanataka nauli zipande lakini sishangai mwanza ni jiji la revolution kama ilivyo arusha mbeya na kilimanjaro.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala jijini Mwanza

    mtu aliye huko anadai wanataka nauli zipande lakini sishangai mwanza ni jiji la revolution kama ilivyo arusha mbeya na kilimanjaro.
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua kampeni Arumeru Jumamosi kwa maandamano makubwa.

    CCM watazindua baada ya mgomo wa madaktari kusitishwa kwa sasa hawana cha kuwajibu wana arumeru wakiwauliza kuhusu huduma za afya mahospitalini sanasana wanaendelea kuwapa hela tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mh Godbless Lema amjibu Tendwa

    Lema amejibu! SALAMU TOKA KWA MH.LEMA Leo asubuhi nimesikia habari za uzushi na majungu kutoka katika gazeti la Chama Cha Mapinduzi Uhuru pamoja na gazeti la serikali la Habari leo . Hivyo basi kilichosemwa na magezeti ya Uhuru na Habari leo ya leo tarehe 23/2/2012 ni uzushi na propaganda...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    acheni kuzingua kwani kati ya madaktari na posho zetu hapa bungeni kipi cha muhimu?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wengi hufa mara tu baada ya kumaliza muda wao bungeni!

    wanakuwa wameshapata posho ya kutosha kuishi maisha ya sayari ya 3 inawabidi waelekee sayari nyingine wakaendelee na yanayojiri huko.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nyoni, Mtasiwa, Mponda, Nkya Must go!

    nakuja sasa hivi!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la Mh Ali Juma Shamuhuna kutakiwa ajiuzulu na Memba BLW.

    huku bara imeshindikana kwa wakina ngeleja,kigoma malima,maige na wengineo wengi labda huko zenji mtaweza tungoje tuone.
Back
Top Bottom