Recent content by nako g

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi Used

    Uko sahihi, ila nimelitumia kupata majibu mapema.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi Used

    Havipo mkuu nimetafuta
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi Used

    ile mteja atakayotoa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi Used

    Maduka ya Arusha vipo?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji King'amuzi Used

    Wana jamvi, habari za jioni? Nipo Arusha nahitaji king'amuzi cha startimes kilichotumika kwa bei poa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu gx 100 ya cresta na mark ii?

    gx 100 cresta iko poa sana kuliko mark II sababu ya consuption. Cresta engine yake ni v vti hainywi sana (1ltr=9km) ila mark II ni v6 (1ltr=7-7.5km) Nimezitumia zote.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa bila ndoa.

    yote makosa, kufanya uzinzi kabla ya ndo na kuzaa kabla ya ndoa. Muhimu ni likikutokea kati ya hayo ukatubu kwa imani yako. Unaweza ukawa mjanja sana kukwepa kubeba/kubebesha mimba lakini ukawa mwongo/ mnafiki n.k zote dhambi. Nawasilisha...!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Nashukuru umetoa ya moyoni halafu ni ukweli usiopingika.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

    Vrainment frere
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapenda zaidi magari ya Japan kuliko ya Uingereza?

    mkuu si kweli kwa hoja yako...inaonekana ungekua unaishi japan pia ungesifia ya mjapani. OUT OF SITE''OUT OF MIND. Acha watu wafanye shopping accordingly..Subaru'Forester zingekua zinatokea UK la hasha Arusha tungekua tunachukulia hapo mkuu. Umetoa ushauri lakini kama vile unalazimisha..!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watu kwa mamia washuka majiani Arusha

    initialising.................3%
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaamua tukapime,yeye ndo kakutwa POSSITIVE.

    point ya muhimu ni kwenda kupima tena baada ya miezi 3..ukiwa neg naomba umuache...ukiwa positive please baki naye mana hakuna HIV mpya.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    hapana sijawahi kufanya check up ya hivyo vitu, nashukuru kwa ushauri..
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    nimekupata kiongozi, ntaanza hiyo dozi nione kama kuna mabadiliko.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    ni mara ya 2 sasa tangu mwezi wa kumi mwaka huu kutokewa na tatizo la moyo kwenda mbio na kuishiwa nguvu mwili mzima wakati wa tendo la ndoa hasa napokua katka harakat za kufunga goli la pili. Nimeshindwa kuibua sababu ya hii....
Back
Top Bottom