Recent content by Nakafwelelema

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

    tafadhali weka mapenzi kwa mwenzi Wako MBELE. ukianza kungalia ulipojikwaa na kuanguka furaha itapotea. songa mbele
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ninapenda wanaume wanaojali usafi wa mwili na kinywa

    umeongea jambo la maana. kama unampenda muelimishe namna ww unavyotaka
  3. N

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa wanaume wanaotimiza majukumu yao

    inatia moyo kama nanyi mnakuliana nahuduma hiyo.nikigundua anaikubali huduma yangu ....atapata mapenzi ya kufa mtu yaani ..nairefusha 100%
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu Arusha

    ulichoongea ni cha msingi sana.kwakweli mkurugenzi na madiwani wana kazi ya ziada kuujenga mji huu.ilinishangaza sana walipokuwa wanajenga stand hapo nyuma waliiacha lile jengo la..katikati kwa plan ipi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana sura mbaya

    mke ulimchagua mwenyewe !! iweje leo awe mbaya.?? hujatulia........
  6. N

    JamiiForums Tanzania 100 People Who Are Screwing Up America

    mambo ya kikubwa
Back
Top Bottom