Recent content by NajuaKusoma

  1. NajuaKusoma

    Usiseme huna kazi kijana, buni dawa ya kusimamisha matiti ya wanawake utawini maishani!!

    Leo tuna ijumapili!? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. NajuaKusoma

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Wakuu, mrejesho huu!! Kumbe kashemej kangu kuleta vizaazaa kalikua na MIMBA kameibebea Moshi, tushakatimua km kamwizi japo siishi tena na ndugu zangu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. NajuaKusoma

    Tuliopanga Uswahilini tuna vituko na maswahibu mengi, tuambiane hapa

    Jaman kero kwa Kufanyia vikao vya vikoba vyenu ktk nyumba na mnazagaa ua mzima turukane rukane wakat wengine hayo hatuna. Kero Sent using Jamii Forums mobile app
  4. NajuaKusoma

    Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

    WANAWAKE MPO, CHEK HUYO UNAPISHANA NAE PUBLIC NA ME SJAZALIWA NA DUME ILA SIO HILO NYAMA!!! SHEEENZTAAAIPU
  5. NajuaKusoma

    Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

    Poleni saana mliotupwa jalalani ht vyooni na hao Malaika Wanawake japo mmeish kwa mapenzi ya Mungu!! Wanatuzaa Mara nyingi bila mipangilio halafu wanalaumu Wanaume kuwatelekeza nyooohh
  6. NajuaKusoma

    Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

    *BREAKING NEWS* AIR TANZANIA na ETHIOPIAN AIRLINES wanatarajia kufanya mafunzo ya muda mfupi na ya bei nafuu kwa wachezaji na viongozi wa timu ya SIMBA ili kuwaelekeza namna ya kuingia kwenye ndege, kukaa kwenye viti na sehemu ya kuweka handluggage. Pia watafundishwa namna ya kuacha tabia zao...
  7. NajuaKusoma

    Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

    NIMELETA MADA ZISIZOHUSU MAMA,BIBI,DADA, NK ILA NYIE MAPAKA SHUME TUNAOKUTANA UKUBWANI OK YOTE SAWA HATA HAO WALITOKA UBAVUN KWANG NA DUME REAL HALIKUZALIWA NA MWANAMKE!! KWAN HAO WANAWAKE MNAOWATAJA HAWANA MABWANA NA WAUME!? KM NI MAMA ANAZINGUA KWA DING ACHA AKEMEWEEE!!!
  8. NajuaKusoma

    Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

    Wadau, Wa kiumeni habarini na mfungo bila kusahau mitihani na majaribio katika wakati huu wa Toba, Kwanza kuna hii mada katika hoja nilipokua shuleni" Girls are all sources of evils under the sun" kubali au kataa. Kwani Mungu alipomuumba mwanaume pekee na baadae kumtoa mwanamke mbavuni kwetu...
  9. NajuaKusoma

    Mke wangu hawataki ndugu zangu na anawaonesha chuki hadharani

    Mashtaka mashtaka yaaan mwenzenu pamoja na udume wangu natamaan nitoroke nyumba!! Mama ananishtakia mdogo wa kike anasumbua saana akiwa anaongea na simu za mabwana zake anajihisi yupo na bint mwenzie wakiwa wawili!! Naona kanaleta za kutaka kumdharau Maza sjui nikafyatue karud kwao!? Au...
  10. NajuaKusoma

    Tuliopanga Uswahilini tuna vituko na maswahibu mengi, tuambiane hapa

    Nilipohamia basi wamegoma kulipa Bili kisa kabla yangu walizoea kulipa elfu 9 na sasa bili inakuja elfu 18 huku tukiwa mibaba 5 yenye kuhemea!!
  11. NajuaKusoma

    Tuliopanga Uswahilini tuna vituko na maswahibu mengi, tuambiane hapa

    Aaaah Muda wa Ftar UMEME umekata afu majitu yanataka tuweke UMEME kesho!!!
  12. NajuaKusoma

    Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

    SIIIIMBAAA,, NAWAOONAAAH
  13. NajuaKusoma

    Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

    KESHO SIMBA DHIDI YA MABAO (MBAO)
  14. NajuaKusoma

    Je, wajua mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa?

    Mi nkajua simba hawanaga Chuki na Mambo ya Kibingwa, Pole saana. Cc Kson m
Back
Top Bottom