Wanaume tuunde chama letu na njoo tuyajue maudhi ya wanawake hapa

NajuaKusoma

Member
May 8, 2017
81
60
Wadau,

Wa kiumeni habarini na mfungo bila kusahau mitihani na majaribio katika wakati huu wa Toba,

Kwanza kuna hii mada katika hoja nilipokua shuleni" Girls are all sources of evils under the sun" kubali au kataa.

Kwani Mungu alipomuumba mwanaume pekee na baadae kumtoa mwanamke mbavuni kwetu, je alihisi uvivu kwa kua hakuuona umuhimu wa mwanamke na akamleta kua mtihani uliotushinda mpaka tunafukuzwa bustanini na kuanza kwa msoto wa kifo kisa ushawishi wake kula tunda.

Wanaume wenzangu tena nyie wasomi kujeni hapa tuwajadili hawa viumbe na kero zao na je wasingekuwepo leo hii dunia ingelikuaje yaani.

Kina dada chonde chonde msivae minguo yenu mnayoonyesha miili ndani na mnakuja madukani kwetu tuwahudumie.
debcb0794caeb5269e32f97cfde8a01e.jpg
 
Kati ya maudhi niyachukiayo kwa mwanamke ni-:

1. Kujibebesha mimba bila lidhaa yangu kwa kigezo cha nimuoe na mwisho wa siku anaanza kuleta usumbufu wa matusi na kukulazimisha kutoa huduma ya mimba au mtoto kwa kero kubwa ilihali wakati anaibeba alijua ni siku za kubeba mimba na wala hujamuoa hata kuzungumzia kua utamuoa haijawahi tokea,akizaa anamgeuza mtoto kama kitega uchumi chake.

2. Kuomba omba pesa bila mpangilio wala jambo la maana,mapenzi ni ya wote na sote tuna enjoy.so why unigeuze shamba?inakera kupita maaelezo

3. Paamoja na kwamba unaweza mtongoza mwanamke ukiwa na mke pia,ok ni makosa kwa namna moja ama nyingine lakini pia si makosa kwa nature ya mwanaume anaweza kua na mke zaidi ya mmoja,lakini nae anakua anajua una mke na anaanza kutafuta njia za kumfanya mke husika ajue kua yeye kaingilia kati ili kumtia mke gadhabu aondoke yeye aingie,mwanamke wa hivyo akiingia hatadumu.

4. Kujifanyishaa wa kishua,mkiwa mnaanza mahusiano anajifanya wa namna fulani adimu,hata kula kwake mkiwa mgahawani anakula anadokoa dokoa kama ndege tetele ilihali akiwa kwao anakula ugali mkubwa kama katoka kulima kwa jembe la mkono.

INAUZI INAUZI INAUZI NA INAWAFEDHEHESHA
 
Mwanamke mmoja hivi alisababisha nifanye dhambi kubwa duniani
Aliniwekea dawa kwenye kinywaji nikazima
Kuzinduka nna kamba mikononi na miguuni
Aisee alinibaka siku ile hadi nikapoteza fahamu nikawekwa ICU
Baada ya kupona nilimfanya kitu mbaya haifai kueleza
 
Mwanamke mmoja hivi alisababisha nifanye dhambi kubwa duniani
Aliniwekea dawa kwenye kinywaji nikazima
Kuzinduka nna kamba mikononi na miguuni
Aisee alinibaka siku ile hadi nikapoteza fahamu nikawekwa ICU
Baada ya kupona nilimfanya kitu mbaya haifai kueleza
Walikula HALICHACHI mkuu 0713?
 
Uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii
 
Mwanamke mmoja hivi alisababisha nifanye dhambi kubwa duniani
Aliniwekea dawa kwenye kinywaji nikazima
Kuzinduka nna kamba mikononi na miguuni
Aisee alinibaka siku ile hadi nikapoteza fahamu nikawekwa ICU
Baada ya kupona nilimfanya kitu mbaya haifai kueleza
Vipi ulimblacklist?
 
Back
Top Bottom