Recent content by Naimani1234

  1. N

    Madawa ya Kulevya: Aisha Bui (mke mwenza na Amina chifupa) nae akamatwa Brazil

    Hivi Tz hatuna watawala.! Mambo yanayoendelea ya uvunjifu wa maadili yamezidi. Ningepewa urais japo wa siku moja ningefanya jambo. Tanzania nakuhurumia...
  2. N

    Madawa ya kulevya: Mtanzania afia Dubai, wengine wadaiwa kukamatwa China na Brazil

    Nchi ikipuuza tu ELIMU. Au kutoa elimu isiyo sahihi matokeo yake ndo haya. Hili tunalo.. naona bora serikali isimamishe yote iwekeze KIUKWELI kwenye ELIMU. Bila hivyo.. mtaniambia.
  3. N

    Kinana: Serikali tatu ni hatari, itasababisha machafuko

    Shinyanga kuna tembo. Au hata wa kwenye zoo nao deal.
  4. N

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    Migwanda ya kijani ndo inatumika kuwavizia tembo. Si wanadhani ni minyasi. Hawa jamaa wamejipanga.
  5. N

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    Kunuka mdomo nako. Kuna dada mrembo anafanya BOT.. kwa kunuka mate.. hafai.
  6. N

    Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Ifweero: Nahisi hujui kutofautisha ujinga na uhuni.
  7. N

    Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    P-O-L-I-C-E: People Of Law In Case of Emmergency. Kwa Tz ni kinyume.
  8. N

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    2015 sio mbali. Kumbukeni tu kutembelea daftari la wapigakura na kuweka kumbukumbu vizuri.
  9. N

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Watu wanajua mambo mengi sana. Mnayaficha kichwani tu. Likizuka jambo ndo mwayatoa... kukiwa tulivu ina maana mtakufa nayo. Naomba lizuke jingine tupakue mengine.
  10. N

    Rwanda yalegea, malori ya TZ yaruhusiwa

    Huyo ndugu aliyeko Rusumo ametoa taarifa muhimu sana. Sasa mbona post yake mmeifuta? Au kwavile inasema ukweli unaoiumbua sirikali ya Tz..! Kasema awali road toll kwa magari ya kirwanda yanayoingua Tz yalitozwa dola 500 (Rusumo-Dar-Rusumo). Kagame alipopandisha wamekubali kushusha mpaka dola...
  11. N

    Rwanda yalegea, malori ya TZ yaruhusiwa

    Wachumi wa Tz hawaelewi hayo.
  12. N

    Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Hivi kwanini mnataja hicho chama cha mafisadi.? Tumechoka hata kukisikia masikioni.
  13. N

    CHADEMA kuzoa wasanii mastaa kugombea ubunge 2015

    Nahisi Chief Editor wa JF anachemka. Mada nyingine mbona zinachosha vichwa
Back
Top Bottom