UKATIBU MKUU BAWACHA NANI NI NANI? HAPO LEO TAREHE 18 / 05/2021 - MWANZA
1. ESTER DAFFI
UIMARA
👉🏼Ni kijana aliyekulia kwenye Chama toka Bavicha ya John Heche akiwa Naibu Katibu Mkuu Bavicha Chini ya Deogratius Munish.
👉🏼Amekuwa Afisa Utawala na Rasilimali Chadema Makao Makuu.
👉🏼Amekuwa Afisa...
Kashfa kubwa imelikumba shirika la hifadhi la Taifa(Tanapa)na mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) baada ya baadhi ya maofisa wake wenye vyeo vya juu kukubali rushwa ya dola 20,000 Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mbugani Camps Ndugu Barnaba Molel.
Mkurugenzi huyu ambaye anaswaka na vyombo vya ulinzi...
Ndugu Mwekezaji....unaombwa kufika duka namba 302 na Tshs 250,000/=muone ndugu Moiz(Muhindi)huu ni mchango wa sherehe pamoja na bahasha kwa ajili ya Mkuu wetu wa mkoa maana kazi aliyotufanyia ni kubwa,ya kuturejeshea maduka yetu,Pesa hiyo inatyakiwa kabla ya tarehe 8 Februari.Pia usisahau nakala...
MKURUGENZI JIJI LA ARUSHA AMEPOTEZEA SIFA YA UADILIFU.!
By Malisa GJ,
Tangu aingie madarakani Rais John Pombe Magufuli amejitanabaisha kama mtu "mwadilifu" mwenye kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa na ufisadi. Hivyo basi jamii ilitegemea hata watu atakaowateua kufanya nae kazi wawe...
Pigo kubwa kwa Nanyaro kesi inayomkabili itasomwa Septemba 10 siku ambayo ni ya uchaguzi bavicha.
Nanyaro atajutia maamuzi yake ya kupiga mgambo,kuna habari pia huyo mgambo anaumwa hadi leo
Hongera Nanyaro kwa nia yako hiyo.Kwa kuwa wewe ni member huku jf chonde uje uthibitishe haya.Ikiwa haya ni ya ukweli basi nakushauri usonge mbele wewe ni aina ya vijana wenye uwezo mkubwa wa kiuongozi
Mahakama ya Arusha imempiga stop diwani wa CDM Efata Nanyaro wa Levolosi kusafiri nje ya mkoa wa Arusha bila kibali,diwani huyo anakabiliwa na kesi ya kumpiga na kumdhalilisha mgambo.masharti hayo ya mahakama yanadaiwa kuwa na shinikizo la mkuu wa Wilaya John Mongela ambaye kwa siki za karibuni...
uwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,naliia mimi Naima,nakipenda chama changu sana,Mh Lema mbunge wangu mbona umekosa busara?mbona unabomoa chama?Mh Zitto ni Naibu katibu mkuu bara,ni kiongozi wako,tena kiongozi mwandamizi nilikuwa nakuamini sana ila sasa naanza kupata mashaka kuwa na wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.