Naima Ernest
Member
- Apr 5, 2013
- 41
- 22
Ndugu Mwekezaji....unaombwa kufika duka namba 302 na Tshs 250,000/=muone ndugu Moiz(Muhindi)huu ni mchango wa sherehe pamoja na bahasha kwa ajili ya Mkuu wetu wa mkoa maana kazi aliyotufanyia ni kubwa,ya kuturejeshea maduka yetu,Pesa hiyo inatyakiwa kabla ya tarehe 8 Februari.Pia usisahau nakala 2 za mikataba
Moris Makoi
Katibu wa wawekezaji Jiji la Arusha
Hii ni sms ambayo ndugu yangu ametumiwa na namba ya simu ya mkononi ya Ndugu Moris Makoi ambaye ni diwani wa Moshi vijijini.
Najiuliza kwa nini hawa madalali/wawekezaji wanatoa HONGO/Takrima kwa Mkuu wa Mkoa?ifahamike tu kuwa RC wa Arusha ni the most corrupt RC of all the times.......
TAKUKURU ingieni kazini